Naitaji Ram ya desktop ddr2

Ya zamani inapiga kazi kama mpya au ufanisi unapungua?
Inapiga kazi fresh tu lakini si unajua kununua kitu used ni kubet
Sema ram ngumu kuharibika ovyo ovyo, ukipata inayopiga kazi ni likely utakaa nayo miaka.

Cha muhimu kwenye ddr4 angalia frequency, ram za kisasa zinaathiriwa sana na speed. Angalia ram ya sasa uliyonayo imatch na hio utakayonunua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom