Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,542
- 12,404
Kinachoendela nadhani si msaada bali ni dhihaka na kupoteza kabisa sifa ya U-great thinker!Kama ni kumsaidia asaidiwe, hiyo gari yake pengine hakuwahi kuipiga picha na ndio maana ameweka picha ya gari inayofanana na hiyo gari yake, ni dhihaka sana kuanza kumwambia mtu anayekuomba masaada maneno ya kukatisha tamaa, geuza shilingi upande mwingine uone ingekuwa wewe ndo unaambiwa mara utafute mfukoni, mara sijui ufanye nini, jamani tuwe wastaarabu!