Naishukuru MMU, imenipatia mke........

9 Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Maana wapata ijara njema kwa kazi yao. 10 Kwa maana wakianguka, mmoja wao atamwinua mwenzake; lakini ole wake aliye peke yake aangukapo, wala hana mwingine wa kumwinua! 11 Tena, wawili wakilala pamoja, hapo watapata moto; lakini mmoja aliye peke yake tu awezaje kuona moto? 12 Hata ikiwa mtu aweza kumshinda yule aliye peke yake, wawili watampinga; wala kamba ya nyuzi tatu haikatiki upesi. Mhubiri sura ya nne
 
mnamvunjia heshima mheshimiwa.
Taarifa rasmi nilizozipata zinasema Klorokwin kaoa huko Igunga ushahidi huu hapa chini

mail
 
Daaah mwenzenu sijawahi kusikia ndo nasikia toka JF .. zamani nilikuwa najua kuna vile vi mambo vya kujizungusha mara miezi miwili imekatika
kweli kizuri chajiuza
Hii ndoa ya wana JF tuweekeeni spread sheet tuanze pledge zetu mungu ni mwema

ila ni kipindi kifupi sana inatia shaka kudumu kwake
 
Back
Top Bottom