Naishukuru MMU, imenipatia mke........

Anamponda mshikaji kwa vile alikula hela yake tatizo Kloro naye anahonga sana alimuhonga Husninyo magunia mawili ya mchele
Hahahaha! Hivi kampeni Igunga zitaisha lini? Manake zimetupotezea Kloro wetu. Nasikia ndie mgombea kupitia SAU?..lol
 
mambo fasta fasta. Ngoja ngoja yaumiza matumbo

Firstlady

Chema chajiuza......ndio hii. Miezi miwili imetosha kabisa.

Usinambie huamini kuhusu love at first sight pia ! lol

Daaah mwenzenu sijawahi kusikia ndo nasikia toka JF .. zamani nilikuwa najua kuna vile vi mambo vya kujizungusha mara miezi miwili imekatika
kweli kizuri chajiuza
Hii ndoa ya wana JF tuweekeeni spread sheet tuanze pledge zetu mungu ni mwema
 
Nna shoga yangu nae miwizi miwili aliolewa. Na huyo mchumba walionana live nafikiri hazizidi mara nne (alikuwa anaandika thesis yake hakuwa na muda wa kuoanana na jamaa) .....now they just got their baby boy.

Na sijawahi kusikia malalamiko ........so lovely kwa kweli.
 
Back
Top Bottom