Invisible
Robot
- Feb 11, 2006
- 9,075
- 7,879
Naibu Waziri wa Afrika Mashariki Mhe. Abdallah Abdallah amepata ajali mbaya maeneo ya Kongowe (Kibaha).
Hali yake si mbaya sana, amepata majeraha kidogo kichwani lakini dereva wake yupo hali mbaya kakimbizwa Tumbi Hosp.
Napenda kumpa pole kwa ajali hii, na kumtakia dereva wake afya njema, apone na kurejea kazini
Yeye kasalimika!
Dereva akiwa Tumbi
Waziri Membe akimjulia hali Dereva wa Naibu Waziri hospitalini Tumbi
Mhe. Mwantumu Mahiza alikuwepo pia