Naibu Waziri apata ajali mbaya

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Naibu Waziri wa Afrika Mashariki Mhe. Abdallah Abdallah amepata ajali mbaya maeneo ya Kongowe (Kibaha).

Hali yake si mbaya sana, amepata majeraha kidogo kichwani lakini dereva wake yupo hali mbaya kakimbizwa Tumbi Hosp.

Napenda kumpa pole kwa ajali hii, na kumtakia dereva wake afya njema, apone na kurejea kazini


attachment.php


attachment.php

3.jpg

Yeye kasalimika!

attachment.php

Dereva akiwa Tumbi

attachment.php

Waziri Membe akimjulia hali Dereva wa Naibu Waziri hospitalini Tumbi

attachment.php


attachment.php

Mhe. Mwantumu Mahiza alikuwepo pia
 

Attachments

  • IMG-20120807-WA0002.jpg
    IMG-20120807-WA0002.jpg
    29.7 KB · Views: 2,578
  • IMG-20120807-WA0003.jpg
    IMG-20120807-WA0003.jpg
    26.1 KB · Views: 2,552
  • IMG-20120807-WA0004.jpg
    IMG-20120807-WA0004.jpg
    27.5 KB · Views: 892
  • IMG-20120807-WA0005.jpg
    IMG-20120807-WA0005.jpg
    21.4 KB · Views: 2,592
  • mahiza-alikuwepo.jpg
    mahiza-alikuwepo.jpg
    52.7 KB · Views: 786
  • kapona.jpg
    kapona.jpg
    54.6 KB · Views: 821
dah! kibaha kwa ajali naona inshindana na bagamoyo, handeni na maeneo fulani ya hai(sadal, boma)...anyway Mungu awape uzima warejee katika afya njema.
 
Huyu mzenji alijitahidi sana kujibu maswali kwa ufasaha wakati wa bajeti yao
 
Nampa pole sana,alikuwa anatoka wapi anakwenda wapi,walikuwemo watu wangapi katika gari,yeye mh, kapelekwa wapi na imetokea{ajali} saa ngapi
 
Back
Top Bottom