Naibu Waziri apata ajali mbaya

Cacico, unamaana gani unapomwombea Vasco ajali? hii ni chuki isiyo na misingi.... na ndio wengi cdm mlivyo... imagine Vasco angekuwa babayako ungemwombea ajai ya gari? Chuki hizi ndizo zitatuangusha cdm 2015, si kingine ni ubinafsi kujipenda weye tu.
 
naibu waziri wa afrika mashariki mhe. Abdallah abdallah amepata ajali mbaya maeneo ya kongowe (kibaha).

Hali yake si mbaya sana, amepata majeraha kidogo kichwani lakini dereva wake yupo hali mbaya kakimbizwa tumbi hosp.

Napenda kumpa pole kwa ajali hii, na kumtakia dereva wake afya njema, apone na kurejea kazini

poleni sana
 
haya ma v8 badala ya kuwa magari ya starehe yanakua magari ya kunyongea watu.!
 
Acha udini mzenji so what? hata angekuwa mpimbwe.... la msingi ni kwamba ni binadamu mwenzetu anastahili pole na dua zetu.

Kuna watu wengine sijui wana brain za jongoo au fukufuku, mm nimeuliza ni mbunge wa wapi na hata hujui sababu gani usharusha mkia juu !! Sasa udini na uzenji umeingiaje hapa ?? Usiniaribie siku plz
 
Nawapa pole wote wapone na kupata afya njema!

Dah! huyu shetani hashibi kunywa damu za watu huko? Shindwa Shetani!
 
Mkuu haya yapo yard Japan au Bongo?:nerd:
Mkuu Japan hawana utamaduni wa kuyaanika juani

attachment.php
 
ndo nimepita ktk eneo la tukio, gari iliacha njia ikaelekea kwenye mtaro na kupinduka.
 
Pole yake. I hope alipewa ruhusa na spika manake kama alitoroka vikao ni soo (nimekumbuka shule. Watu wanatoroka afu accidents zinawaumbua)
 
Kwa nini wewe unadhani kuna namna moja tu ya kuuliza kilichosababisha hiyo ajali?

Jamani Nyani Ngabu, mimi nimesema asante kwa ufafanuzi nikiwa na maana nakubaliana na maelezo yako. Unajua elimu haina mwisho, nimejifunza kitu hapo na ndio maana nimekushukuru.
Nasema tena, asante kwa kunifafanulia. Naishia hapa, nisije kuambiwa nimegeuza kijiwe uzi wa ajali ya Naibu Waziri.
I wish you well!
 
Back
Top Bottom