Naibu Waziri apata ajali mbaya

hiyo damu inayoonekana kwenye kichwa cha mhe naibu waziri ni ya dereva wake...yeye hajapata jeraha lolote
 
Naamini chanzo kitakuwa ni kwanza barabara mbaya mashimo kibao
Pili speeding
Overtaking za kijinga
In short madereva wa magario ya serikali they are reckless drivers si huko njia ndefu tu hata mjini .Nawajua na wote mnawajua na hao wakubwa huwa hawaulizi juu ya speeding bali huwa wanawaza kuwahi kufika .

Sijui hawa madereva wa serikali wana akili gani mie sijui
 
Naombeni asitibiwe jamani hata kwa pesa nitatoa ili asitibiwe

3.jpg


naibu waziri aliyepata ajali
 
Pole kwake na Dereva wake pia... Waache kutumia V8 wachukue Land Rover full kazi magari ya anasa sometimes na madereva wanajisahau mno maana hawasikii hata vibonde barabarani so full kukanyaga accelerator
 
Invisible na Wana JF,
Nawapa Pole Naibu Waziri na Dereva na wote waliopata Ajali ya Gari

My Take:
Ni wakati wa kuchukua Hatua kuhusu hizi Ajali zote, za Anga, Majini, Barabarani etc.
Nawakilisha.
 
Nilikuwa sijui yeye ni Naibu Waziri. In fact nabisha kwamba yeye ni naibu waziri. How could I have missed it.? [Au labda kwa vile alikuwa too busy anafanya ufisadi katika bodi ya korosho,hakusikika kama naibu waziri]
Very interesting comment there...A Zanzibari in Cashewnuts board for Tanganyikan's growers..let me think.
 
Nini sababu ya ajali?

Overspeeding. These guys passed us pale bonde la Ruvu kama tumesimama. By then our driver was doing 100km/h. Kwa kuwa wao hawasimamishwi na polisi basi tena barabara ni zao.

Off course, polisi watasema ni tairi lilipasuka. Lakini angekuwa wewe, ni uzembe wa dareva.

Poleni sana waathirika wa ajali.
 
Back
Top Bottom