Naibu spika nakupongeza kwa kuwaonyesha njia

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Mda mfupi wakati akihitimisha kikao cha leo naibu spika ametoa ushauri wa jumla kwa wabunge wetu kuwa bajeti ni yao hivyo ni ajabu mbunge wa ccm kusimama na kuikosoa bajeti ya serikali yake jukumu la kwanza ni kuishauri then isipotekeleza ndo kuiadhibu na si kuanza kuipinga bajeti kabla ya kushauri hiii imekaa vzr sasa wabunge wetu warudi kwenye njia maana walikuwa wamepotea kufanya ushabiki na kuacha kutekeleza jukumu lililowapeleka pale!
 
Back
Top Bottom