Naibu spika mhe. Ndugai ni mzima wa afya wala sio mgonjwa

Mkurugenzi

New Member
Oct 5, 2010
4
0
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA

TAARIFA KWA UMMA

UFAFANUZI JUU YA HALI YA AFYA YA NAIBU SPIKA
_____________
Kumekuwa na taarifa zinazosambazwa kwenye Mitandao ya kijamii kuhusu hali ya Afya ya Naibu Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai. Ofisi ya Bunge inapenda kuutangazia umma na Wananchi wote kuwa, taarifa hizo zinazosambazwa katika baadhi ya Mitandao si za kweli, bali ni uzushi mtupu.

Ukweli ni kwamba Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai ni Mzima wa afya na hivi sasa yuko jimboni kwake Kongwa, Mkoani Dodoma akifanya maandalizi ya Mwisho ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana itakayofanyika mwishoni mwa wiki hii na hasa Jimboni Kongwa, Dodoma.

Ofisi ya Bunge inapenda kuwatoa hofu Wananchi wote na kuwataka kuzipuuza taarifa hizo kwa kuwa si za kweli bali ni uvumi unaonezwa na watu wachache wenye nia ovu ya kujenga hofu miongozni mwa Wananchi kupitia mitandao ya kijamii.

Aidha tunapenda kutoa rai kwa watu wote kuacha kusambaza taarifa hizo potofu na badala yake kama kuna taarifa zozote kuhusu Ofisi ya Bunge au Viongozi wake wafanye jitihada za kuthibitisha taarifa hizo kwenye Mamlaka husika kabla za kuzisambaza.

Ofisi ya Bunge inao utaratibu rasmi wa kutoa taarifa muhimu kwa wananchi na umma kwa ujumla, hivyo si vyema kwa watu kusambaza taarifa potofu kuhusu Bunge na viongozi wake ambazo zinaweza kuleta usumbufu miongoni mwa Viongozi na baadhi ya wananchi.

Imetolewa na:
Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa
Ofisi ya Bunge
DAR ES SALAAM
4 MACHI 2015
 
Ilikuwaje asiende kwenye msiba wa Komba. Kwa akili ya kawaida tu kama afya yake ipo poa kwa wadhifa wake asingeweza kukosa kuhudhuria msiba huo.
 
Na kwa nini mseme leo kuhusu afya mpaka mlivyoona katika mitandao?
Mi naamini lisemwalo lipo na kama halipo laja....
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA

TAARIFA KWA UMMA

UFAFANUZI JUU YA HALI YA AFYA YA NAIBU SPIKA
_____________
Kumekuwa na taarifa zinazosambazwa kwenye Mitandao ya kijamii kuhusu hali ya Afya ya Naibu Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai. Ofisi ya Bunge inapenda kuutangazia umma na Wananchi wote kuwa, taarifa hizo zinazosambazwa katika baadhi ya Mitandao si za kweli, bali ni uzushi mtupu.

Ukweli ni kwamba Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai ni Mzima wa afya na hivi sasa yuko jimboni kwake Kongwa, Mkoani Dodoma akifanya maandalizi ya Mwisho ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana itakayofanyika mwishoni mwa wiki hii na hasa Jimboni Kongwa, Dodoma.

Ofisi ya Bunge inapenda kuwatoa hofu Wananchi wote na kuwataka kuzipuuza taarifa hizo kwa kuwa si za kweli bali ni uvumi unaonezwa na watu wachache wenye nia ovu ya kujenga hofu miongozni mwa Wananchi kupitia mitandao ya kijamii.

Aidha tunapenda kutoa rai kwa watu wote kuacha kusambaza taarifa hizo potofu na badala yake kama kuna taarifa zozote kuhusu Ofisi ya Bunge au Viongozi wake wafanye jitihada za kuthibitisha taarifa hizo kwenye Mamlaka husika kabla za kuzisambaza.

Ofisi ya Bunge inao utaratibu rasmi wa kutoa taarifa muhimu kwa wananchi na umma kwa ujumla, hivyo si vyema kwa watu kusambaza taarifa potofu kuhusu Bunge na viongozi wake ambazo zinaweza kuleta usumbufu miongoni mwa Viongozi na baadhi ya wananchi.

Imetolewa na:
Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa
Ofisi ya Bunge
DAR ES SALAAM
4 MACHI 2015
Badala ya kufanya kazi za umma, anatumia pesa za umma kufanya kazi ya CCM!!!
 
Mkurugenzi
Kuumwa si swala la kujitakia,
Mnapoanza kukanusha habari kama hz mwishowe ndio tunapata hoja Mbichi kuwa kwa nn mkanushe swala ambalo halipo juu yenu? muwe mnajibu na mengine ya huko kwenu!

Hili linaleta hoja kuwa kama kweli anaumwa ugonjwa mmeusababisha ninyi hasa kutokana hali iliyojitokeza wakati akiendesha kikao cha bunge hasa suala la Escrow.
 
Last edited by a moderator:
Hutu jamaa namkubali sana!japo no gamba ila anasoma Alana ya ya October
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA

UFAFANUZI JUU YA HALI YA AFYA YA NAIBU SPIKA

Kumekuwa na taarifa zinazosambazwa kwenye Mitandao ya kijamii kuhusu hali ya Afya ya Naibu Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai. Ofisi ya Bunge inapenda kuutangazia umma na Wananchi wote kuwa, taarifa hizo zinazosambazwa katika baadhi ya Mitandao si za kweli, bali ni uzushi mtupu.

Ukweli ni kwamba Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai ni Mzima wa afya na hivi sasa yuko jimboni kwake Kongwa, Mkoani Dodoma akifanya maandalizi ya Mwisho ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana itakayofanyika mwishoni mwa wiki hii na hasa Jimboni Kongwa, Dodoma.

Ofisi ya Bunge inapenda kuwatoa hofu Wananchi wote na kuwataka kuzipuuza taarifa hizo kwa kuwa si za kweli bali ni uvumi unaonezwa na watu wachache wenye nia ovu ya kujenga hofu miongozni mwa Wananchi kupitia mitandao ya kijamii.

Aidha tunapenda kutoa rai kwa watu wote kuacha kusambaza taarifa hizo potofu na badala yake kama kuna taarifa zozote kuhusu Ofisi ya Bunge au Viongozi wake wafanye jitihada za kuthibitisha taarifa hizo kwenye Mamlaka husika kabla za kuzisambaza.

Ofisi ya Bunge inao utaratibu rasmi wa kutoa taarifa muhimu kwa wananchi na umma kwa ujumla, hivyo si vyema kwa watu kusambaza taarifa potofu kuhusu Bunge na viongozi wake ambazo zinaweza kuleta usumbufu miongoni mwa Viongozi na baadhi ya wananchi.

Imetolewa na:
Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa
Ofisi ya Bunge
DAR ES SALAAM
4 MACHI 2015
 
Ahsante kwa taarifa. Tunategemea kumuona kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM.
 
Kukanusha ni kawaida. Ni weredi wa chama chetu tuliojijengea. Shida ni kwamba mara baada ya kukanusha zinakuja habari zenyewe kuwa sasa jamaa kakimbizwa Apolo, India. Mkikanusha muwe mnawasiliana na Mungu awalinde! Sikio la kufa bwana ...
 
Hivi ndugai ndiye mwenyekiti na katibu wa ccm kongwa?

Alianza maandalizi ya mapokezi ya kinana toka november?

Utaratibu wa bunge kutoa taarifa za viongozi wake ukoje?

Alivyoenda paris mlituambia?

Kwa nini mmeamua kumjibia?

....ongeza maswali mdau!
 
Back
Top Bottom