Nahitaji solar ya kuwasha TV 24hrs na kuwasha taa saba kwa angalau kwa masaa sita.

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Habari za wakati kama huu, naomba msaada wa kujua nichukua solar panel ya ukubwa (watt) gani ili iweze kutosheleza mahitaji tajwa hapo juu. Pili inabidi niwe na vifaa gani ili niweze kuitumia hiyo solar.
 
Je tv yako ni wat ngapi ? Taa unazotaka kufunga aina gani ?. Za ac au dc ?
 
Back
Top Bottom