NAHITAJI PLAYSTATION 2 (multi system)

Bukayo jr

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
2,782
1,638
Wapendwa

Nahitaji Playstation 2 original (mtungi) kama nne hivi lakini ziwe multi system za biasahara kuna mahali ni bonge la biashara kama kuna mtu anazo au anajua ziliko ani PM au tuwasiliane kwa 0763925535
 
Uko tayari kusubiri kwa wiki moja?
Niandikie e-mail tufanye hiyo biashara.
G12 International Co. Ltd.
 
Back
Top Bottom