Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 4,164
- 11,484
Wadau wapi naweza kupata notice za sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne kulingana na mtahala (syllabus) za wizara ya elimu Tanzania.
Wapi naweza kuzipakua (download) kwa ajili ya vijana wetu? Wengi wetu tunaweza kuwa na changamoto ya hili jambo maana unaweza ukawa na kijana akataka kwenda spidi (ahead) ya mwalimu kwa ufanisi zaidi.