Nahitaji nondo 12mm(60) na 16mm(25) za mkononi,marine board,mbao na mirunda.

Kibela

Member
Mar 21, 2012
58
10
Habari wanabodi,

Kichwa cha habari hapo juu chahusika,nahitaji nondo takribani 85 kwa mchanganuo wa 12mm idadi 60 na 16mm idadi 25,napatikana bahari beach near budget restaurant ,ledger plaza road .

Offer yangu 12mm nanunua kwa 15,000/= Tsh na 16mm nanunua kwa 25,000/= Tsh,kama unazo na unaziuza just PM tufanye biashara nachukua mzigo wote kwa fedha Cash na pia kama una marine boards used,mirunda ,2x4 and 2x2.

Mchanganuo:-
1.Mirunda 125 bei yangu ni Tsh 1,000/= Tsh kwa mrunda mmoja.
2.Marine boards 10, bei ni Tsh 24,000/= Tsh kwa board (4x8 ft)
3.Mbao 4x2 nanunua kwa 5000 Tsh per piece 12 ft (Nahitaji 32)
4.Mbao 2x2 nanunua kwa 2500 Ths per piece 12 ft (Nahitaji 10)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchanhanuo:-

Weka namba yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom