Marin Board, Mirunda, Mbao Used for Sale

kibiashara

Member
Feb 4, 2013
75
13
Nimemaliza kumwaga zege. Nina mirunda 700 (bei @ 1,500) Marin Board 65 (bei @ 40,000) Mpya zimebaki 5 ambazo naziuza kwa (@ tshs 50,000) na Mbao za 4x2, 6x2 na 10x1 nyingi). zote zimetumika mara moja na ziko katika hali nzuri. kwa anayehitaji zitakuwa available baada ya wiki 2 kuanzia leo. unaweza anza fanya booking mapema na ukajiandaa kuzichukua. ni PM au piga 0713 60 28 00
 
ooh yes. sight ipo Mbweni JKT njia ya kwenda Ndege Beach. Karibu na pub iiitwayo Mbweni Inn. Karibuni
 
Hiyo ni Dar, wilaya ya Kinondoni, mbele ya Tegeta....just to be more precise....swali lingine?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom