Nahitaji mbao, mirunda na marine board

Andre02150

JF-Expert Member
Feb 2, 2010
332
128
Wakuu nahitaji mbao 2x4 mia 4 na mirunda mia 6. Pia nahitaji Marine Board 18mm pc 100. Naomba bei 'rafiki'. Tuwasiliane tafadhali
 
Wakuu nahitaji mbao 2x4 mia 4 na mirunda mia 6. Pia nahitaji Marine Board 18mm pc 100. Naomba bei 'rafiki'. Tuwasiliane tafadhali

Elezea vizuri mkuu, 2x4 ni treated au untreated? Milunda yenye ukubwa na urefu gani?
 
Kyenju; mbao zote ninazohitaji ni untreated...mbao na mirunda ni kwa ajili ya ujenzi wa slab. pia nahita 100 pcs za 1x10. Natanguliza shukrani
 
Wakuu nahitaji mbao 2x4 mia 4 na mirunda mia 6. Pia nahitaji Marine Board 18mm pc 100. Naomba bei 'rafiki'. Tuwasiliane tafadhali

upo maeneo yapi!
Tunapatikana Iringa
mlunda mmoja urefu ft 20-18 Tsh.2500/=
mbao 2*4*12 moja Tsh.6500/=
 
Wakuu bado tunaendelea kupokea ODA zenu! Kumbuka, hatuuzi magogo. Ni mbao zenye ukubwa(size) wa
(i) Inch 1 kwa inch 8 (1*8), urefu wa futi 10 (Mita 3)
(ii) Inch 2 kwa inch 6 (2*6), urefu wa futi 10 (Mita 3)

(iii) Inch 2 kwa inch 5 (2*5), urefu wa futi 10 (Mita 3)

(iv) Inch 1 kwa inch 5 (1*5), urefu wa futi 10 (Mita 3), n.k

Mbao ni za aina mbalimbali, kulingana na mahitaji yako!

NB: Kwa wale msiopenda usumbufu wa kusafiri hadi kufika katika ofisi yetu, wilaya ya Urambo, mkoa wa Tabora. Mnaweza kututumia barua pepe zenu (e-mail), kupitia namba zetu za simu ama barua pepe zetu;

Simu: 0784 324 102 / 0755 732 981 / 0784 667 480

Barua pepe: info@mihambos.com / sales@mihambos.com

Na tutakutumia MKATABA WA MAUZO/ MANUNUZI mara moja, ili taratibu nyinginezo ziweze kuendelea!

Karibuni sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom