Preta umenena...........kama ningekuwa Amina.......shemeji halali yangu.....
Preta umenena...........
Waambie wasongeshe tu bana, shemeji kitu gani.... kwani huyo mwanamke alizaliwa tumbo moja na huyo mume mtesaji.
Nakushauri mwambie waoane na ikiwezekana wanishirikishe kwenye michango ya harusi nitawachangia.
Jamani mbona wakinadada mnajiaminisha sana kwetu!?Mi nadhani kuliko kuendelea kuumia bora amwambie huyo shemeji yake kuwa anampenda!Na shemeji kwa busara zake atamkataa kistaarabu(kwani c lazma dada akikwambia anakupenda ukubali).baada ya hapo dada atatulia.But akikaa kimya asimwambie kitu na shemeji anaendelea kumtembelea nyumbani kwake oneday(watasema shetani katupitia).Pole sana dadanguCha msingi hapa naona aachane na wote
Kwanza akianza mahusiano na shemeji itaanza kuleta migongano katika familia zao kwa ujumla
Pili kama hana hisia na mmewe kabisa akae atulie inawezekana yupo mungu aliyempangia katika maisha yake
Lakini kuanza mahusiano na shemeji yake aachane na hilo wazo kabisa..
Uzuri wanaume bado wapo hawajaisha duniani kama hamuhitaji mmewe..
*****************shemeji NO***************************
ninavyofahamu karne hii hakuna taboos lol