Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae.

Kwanini usifate taratibu za kidini ukaoa tu, anyway good luck ndugu yangu

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
mi huwa sijui naona vipi mtu kutangaza kuwa anataka mtu wa kuzaa nae, mke, mchumba kama nafasi ya kazi vile. ila nimtazamo wangu tu
 
Nakuombea Kwa Mungu ili ufanikiwe katika Hili japo,Mungu anasema aombae hatapewa hivyo kazana katika kusali uje upate Mwanamke wa Maisha yako.
 
naomba matokeo yako ya fomu foo na fomu six.

Ulikuwa bundi shule au msuli kitanda, mambo ya kupata mwanaasha wakati mtoto anasoma st london nani anataka.
 
mi huwa sijui naona vipi mtu kutangaza kuwa anataka mtu wa kuzaa nae, mke, mchumba kama nafasi ya kazi vile. ila nimtazamo wangu tu

@Merritta upo? Hujui nayo nikazi kama kazi nyingine? Think loud!

Bazazi!
 
labda! siwezi kubisha sana ndo maana nikasema ni mtazamo, ila kwani kutafuta mwanamke kimya kimya ukafuata utaratibu ukaoa unaona tabu sana mpaka utangae kwenye mitandao looh. mi nipo sana Bazazi!.... mic u
 
shukrani kwa wale waliotoa maoni yao kwa ustraarabu, ushauri na maoni yao yatafanyiwa kazi, pia walioponda pia nawashukuru kwani akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Wewe ndio mwenye shida ya mtoto kwanini lazima awe na kazi. Mimi naona kama wataka kuzalisha halafu alee mwenyewe.
 
Mtoto mmoja hakutoshi? Huoni kama utafanya dhambi kuwa na mahusiano mengine? Mke wako akijua unadhani itakuwaje?? I would not agree with you.
 
mi huwa sijui naona vipi mtu kutangaza kuwa anataka mtu wa kuzaa nae, mke, mchumba kama nafasi ya kazi vile. ila nimtazamo wangu tu

Hahahaaaaaa.........ni kitu ambacho bado najiuliza hivi ni kweli hawa wanaotoa haya matangazo ya kutafuta wenza wako SERIOUS kabisaaaaaa au wanachangamsha genge???!!!
 
Mi jamani nimeshawahi kurespond kwa wanaume wanaotangaza wanahitaji wachumba wa kike humu JF.. Cha ajabu tuki meet inatokea mmoja kati yetu hajaridhika na mwonekano wa mwenzake..Lol.. Ikitokea mi nimeridhika nakutana na ambaye hajaridhika na mie..Na nikikutana na aliye ridhika na mie, mimi nakuwa sijaridhika naye... Ni vichekesho kwa kweli..
 
Lol.....acha utani bana neylu mwenzio nataka kujua kama ni kweli. Nna mtu anatafuta binti sasa kama hapa wanapatikana naweza mwambie awe member na yeye ajaribu bahati yake ati
 
Last edited by a moderator:
Lol.....acha utani bana neylu mwenzio nataka kujua kama ni kweli. Nna mtu anatafuta binti sasa kama hapa wanapatikana naweza mwambie awe member na yeye ajaribu bahati yake ati

Hahahaa...Sikukatishi tamaaa ila ki ukweli hayo ndio yaliyonitokea sio utani ni kweli kabisa... Ila kila mtu na bahati yake..Mwambie ajaribu anaweza bahatisha..
 
Hahahaaaaaa.........ni kitu ambacho bado najiuliza hivi ni kweli hawa wanaotoa haya matangazo ya kutafuta wenza wako SERIOUS kabisaaaaaa au wanachangamsha genge???!!!
Tatizo ni kwamba wakina dada wengi umezoea kudanganywa kwa kulembalemba maneno, mtu akiwa straight forward mnamwona mwongo au hayuko serious, huo siio utani wala kufurahisha genge, mbali na hayo ndo nitakuwa mwongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom