Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae.

unajua lazima uangalie mbali, sisi ni binadamu likitokea la kutokea apate shida hicho kiumbe? usiangalie hapo karibu ndugu yangu
 
ni maoni mazuri lakini hitaji langu ni hilo, Mungu anisamehe tu. huo ndo ukweli, hakuna kupindisha, labda unanishauri nini unaonekana una mawazo mazuri..... webondo
 
Mke wako anataarifa hizi na amekukubalia? Au unataka umpe shida dada wa watu ya kuishi maisha ya kuogopa kipigo cha mkeo pindi atakapo baini ukweli?
 
ukweli ndugu yangu hakuna anaeweza kukubali hali hii huo ndo ukweli, hakuna kupindisha, la msingi kuendelea kimheshimu. au wewe unashauri nini juhudi za kushawishi zimeshindikana, na wala hakubaliani nami, nami ninahitaji hilo. come up
 
pia hakuna maingiliano kila mmoja na maisha yake bhana
 
Mi jamani nimeshawahi kurespond kwa wanaume wanaotangaza wanahitaji wachumba wa kike humu JF.. Cha ajabu tuki meet inatokea mmoja kati yetu hajaridhika na mwonekano wa mwenzake..Lol.. Ikitokea mi nimeridhika nakutana na ambaye hajaridhika na mie..Na nikikutana na aliye ridhika na mie, mimi nakuwa sijaridhika naye... Ni vichekesho kwa kweli..
kabla ya kukutana mnatumiana picha na kuwa na mawasiliano hatua inayofuatiwa mnakutana, unajua hatua ya kukutana ni ya mwisho na ni vema ikafikiwa baada ya makubaliano na kuridhika kwa kila mmoja mi nadhani ndo njia nzuri.
 
ukweli ndugu yangu hakuna anaeweza kukubali hali hii huo ndo ukweli, hakuna kupindisha, la msingi kuendelea kimheshimu. au wewe unashauri nini juhudi za kushawishi zimeshindikana, na wala hakubaliani nami, nami ninahitaji hilo. come up

Kwa hiyo mtakuwa mnafanya kwa siri kubwaaa.??? Kwa hiyo ukishafyatua mtoto uta take care vipi familia mbili? Maana huyo mtoto atakuwa anahitaji malezi yako pia kama Baba.. Utawezaje nawe unafanya siri? Huoni ni ngumu?
 
usiri utakuwa mwanzo tu, kw vyovyote huwezi kufanya siri milele. akipatikana inawekwa wazi hakuna jinsi
 
Wanawake tulivyokuwa na wivu ndugu yangu.... Hapo uombe Mungu tuu pasiwepo na mambo ya Kalumanzila baina yao..Wasije kukufukizia madawa kama sio kudhuriana wao kwa wao.. Too bad huyo Bi dada mpya ndio hujui chochote kuhusu yeye.... Na utajuaje kama anazaa au nayeye ni wale wale? Unaweza kukaa nae miaka 5 asizae hata mtoto mmoja utamuacha??? Kila la heri ndugu..
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako, umezingatiwa, kwa kweli sitakuwa na papala katika hilo kma umenisoma vizuri sitakurupuka tu unazaa, no, kuna kufanya mahusioano kwanza ambapo kila mtu akiridhika ndo hilo lililolengwa linafuata. nina tahadhari ya kutosha sina papara, ndugu yangu. na asipozaa basi mahusiano yanaendelea kama kawaida naridhika na matokeo basi.
 
Hahahaaaaaa.........ni kitu ambacho bado najiuliza hivi ni kweli hawa wanaotoa haya matangazo ya kutafuta wenza wako SERIOUS kabisaaaaaa au wanachangamsha genge???!!!

yaani mi pia huwa najiuliza sana
 
mi nadhani ungesema mtt utayempata kupitia humu jf atakubalika vp kwa jamii yako means ndugu zako na ikitokea bahati mbaya umetangulia mbele za haki kabla ya kumtambulisha bi dada wa watu kwa familia huoni kama utakuwa umemtenda vya kutosha na hali ngumu ya maisha we fanya hivi huyo mwanamke atakayekubali kuwa na wewe mfungulie miradi mbalimbali mjengee nyumba kabisa usafiri n.k ndio afikirie kubeba hiyo mimba ni hayo tuu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom