Nahitaji msaada wako wa kipesa ili niweze kulipia mtihani wa kidato cha nne 2013

Dogo nitakutumia kiasi fulani, Ila ungesema unahitaji Mchango wa Harusi mpaka sasa ungekuwa umeisha kusanya zaidi ya M, hii ndo Bongo yetu
 
Dogo weka namba yako ya simu, kwani UPo nchi gani? Hazijatimia na itafika hiyo tar 28 hujapata Kama umekosea no. Unanipa wasiwasi Kama utatoka kweli katika chujio la necta
 
inashangaza jf yenye watu zaidi ya 50 elfu wanavyoupita uzi huu bila hata ya maneno ya kutia moyo kwa mdau huyu. Linge kua suala la natafuta mchumba hapa watu "wangetililika" mithili ya maji ya bwawa la mtela.
 
Wenye nacho huchangia penye kuleta jina... Wenye moyo wa kujali hawana kitu.... Mi nitajikuna ninapoweza nitakutumia Dogo. Piga msuli Necta wanavaa miwani za bati sikuhizi.
 
Dogo nakurushia sasa hivi ila inabidi uje kusema hapa kuwa ukikusanya ngapi. Sawa?
 
Kijana ujue watu wanajitolea si kwakuwa wanapesa nyingi ila wamwguswa na swala lako, inamaana bado haujapata elfu 20000 ili ijazie hapo nilipochangia, kama lengo ni pesa ya ada ya mtihani ni busara ukatuambia kama imetimia ili wengine wasiendelee kukutumia!
 
Nakurushia japo kidogo kwan najua Mungu atakusaidia japo hukasema kama ww ni yatima au wazazi wako hawakiwezi. Kuna wengine wanaweza dhani wanachangia ndugu wa Kalamagi na wenzie kwan umeweza kununua cm kali yenye internet. You haVe to clear and open next time.
 
Mbona huleti feedback? Nimekutumia 30,000/= umeipata!?
Salaam watu wa JF,
naitwa Joackim T. Joseph nasoma kidato cha nne Bujingwa Sec. iliyopo mwanza. Ninahitaji msaada wako wa hali na mali ili nipate pesa ya u yeyote atakayetoa.
KUTOA NI MOYO?
 
Du japokua hua sio mchangiaji ma topic nyingi, ila hii bora nichangie..!!
Ila ikumbukwe kutoa ni moyo...,lakini bora ieleweke anaechangiwa ni mtu wa namna gani>>??????????
Nimepitia post zako za nyuma mpaka sasa sijaelewa kama una shida kweli ya iyo pesa>>>!!!
Topic: Natafuta rafiki wa kuchati naye
byJOACKIM THOMAS
Natafuta rafikiwa kuchati naye
jamani mimi natafutarafiki wa kipiga naye habari awe msichana na asiwe na miaka zaidi ya 20 mawasilianoni +255764936964 au EMAIL yoseanthony@yahoo.com
Topic: kitabu kinauza kwa bei nafuu sana
kitabu kinauzakwa bei nafuu sana
ninauza vitabu kwa beinafuu sana dictionary ya kiswahili na maperfect ya kiswahili kwa maelezo zaiditembelea ukulasa wa fb http://anthony.yose1@facebook.com au piga simu namba0765936964
Topic: chumba cha kupanga self contena
by JOACKIM THOMAS
chumba chakupanga self contena
Je unataka chumba chakupanga hapa jijini mwanza tafadhali tembeldahttp://joackim.thomas@facebook.com kwa maelezo zaidi au piga simu namba0765936964.bei zetu ni nafuu karibu sana.....

HEBU JIELEZEE VIZURI MI NIPO TAYARI KUKULIPIA IYO PESA

Nahisi kuna Utapeli unaendelea hapa... Mods naomba upige ban huyu dogo,,

Aje atueleze huyo demu anaemtafuta wa kuchat nae ili iweje yeye kama form 4 anaetoka mazingira magumu ya kukosa hela ya mtihani 35,000 demu anamtafuta wa kazi gani,,

Pili huo udalali anaofanya wa hivyo vyumba anavyopangisha nao atueleweshe,,

Also mbonba ana majina mawili hosea antony, na joakhim thomas,,

Na je kwa nini anauza vitabu vyake wakati yeye ni form 4
 
Haya mambo magumu sana, sipendi kumjudge muomba mchango au kutoa conclusion, ila kuna kila dalili kukawa na kitu mlango wa nyuma, na kama kweli itakua ivyo siyo vizuri kabisa kutapeli watu!!
Mi naomba ujitokeza ujibu vizuri na kwa ufasaha, wewe ni mwanafunzi kweli, au dalali, au unatafuta pesa kwa shida zako nyingine!!
Inasikitisha kuona Watanzania wanaumia kwa tatizo ambalo inawezekana ikawa ni uongo mtupu!!
Ila kaa ukijua waliosema siku za mwizi ni AROBAINI HAWAKUA WAJINGA!!!
 
JFdshggfhfghg
Last edited by JOACKIM THOMAS; Today at 14:40.

POLENI KAMA KUNA WATU AMBAO KWA MIOYO SAFI NA HURUMA ZAO WAMEMTUMIA HUYU MTU PESA ZAO!!!
ILA NDUGU YANGU KUMBUKA STYRE HII INAWAHARIBIA WENYE SHIDA NA MATATIZO YA KUTAKA KUSAIDIWA..
KIUKWELI HIYO SIYO STYRE YA KUTAFUTA PESA KWA KUSINGIZIA MATATIZO!!
Kuna watu hua wana styre hizo,na tushakutana nao wengi tu, matatizo mengi alafu kila siku kazi zao ni kuombaomba!!
 
Back
Top Bottom