Wakupita umpitie nani ? Mweee
Wakupita umpitie nani ? Mweee
Nndio maana anapewa vya mbavu,weka vigezo na sifa zako akina dada wakuelewe.
Mke siriaz ndo yukoje?
WORDS..............mana kuna wale wasomaji tu anaeza akawa anfit hzo criteria akajiunga faaasta na ku m pm au ka sio kujiunga hata akaweka contact zake hapoJieleze sifa zako na za binti unayemtaka,
Wengine ni wasomaji sio memba so uweke na mawasliano kwa wale wasio membba,
Ni ushauri tu km ahuko serias potezea.