Nahitaji Mke serious!

wakupita

Senior Member
Mar 14, 2011
159
97
Kila ninapojaribu kuvizia natolewa mbavuni,so nahitaji mtu ambae yupo ready for blind dating!:nerd:
 
sasa mkuu unahitaji mke au blind date ....

good luck anyways ! wadada wa JF wata kurushia ma PM
 
Ni-PM nikupe mastrategies ya kukuwezesha kufanikiwa. Inawezekana approach yako haijakaa vzr ktk kunasa umpendaye. By the way blind dating itakupeleka wapi? au unatafuta kuchanganyikiwa zaidi?
 
Hii si ungepeleka hapo kwa jirani "Love connect" :focus: analyze situation kabla hujajitupa kichwa kichwa
 
Jieleze sifa zako na za binti unayemtaka,
Wengine ni wasomaji sio memba so uweke na mawasliano kwa wale wasio membba,
Ni ushauri tu km ahuko serias potezea.
 
Jieleze sifa zako na za binti unayemtaka,
Wengine ni wasomaji sio memba so uweke na mawasliano kwa wale wasio membba,
Ni ushauri tu km ahuko serias potezea.
WORDS..............mana kuna wale wasomaji tu anaeza akawa anfit hzo criteria akajiunga faaasta na ku m pm au ka sio kujiunga hata akaweka contact zake hapo
 
Ngoja ni wape sifa
1.awe na uzoefu angalau wa miaka 15
2. Awe ajawai ku..... Wala kuchumbiwa
3.awe na umri uziozidi miaka 20-
4................................................
 
Sifa zangu
Kazi Accountant
Elimu CPA
Umri 28
Ninapoishi Dar es salaam
Kimo Mrefu

Sifa za nimtakae
Awe muelewa
Urefu wastani
Elimu kuanzia form four na kuendelea
Dini muislam
Kabila lolote
Umri Kuanzia 25 mpaka 29
Above all ajue kupika vizuri


Wakuu nimesema niko serious katika kupata mke sio kupata mke serious!
 
28 unahaha ivo? Hah hah hah...
Labda kama unaishi pangoni na hutoki. Vinginevo mda unaruhusu kupata msichana na akawa mchumba na hatimae mke. Acha kuhaha kwa sasa.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom