Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 486
- 606
Habari zenu wana jf,,, naombeni misaada wa mawazo na mawazo ya kisheri... Nipo katika wakati mgumu
Mimi baada ya kuhitimu MBA programme naliamua kujihusisha na shughuli za biashara. Kuanza na, nlianzisha kampuni iliyoitwa Mafuru Furniture Supplies Co Ltd ambapo alikuwa mmiliki mwenye hisa zaidi akiwa na 80% ya hisa huku mke mpendwa, Aneth, akiwa na 20% iliyobaki. Mmi na mkee wang pia ni wakurugenzi wa kampuni hiyo ambayo imekuwa ikifanya kazi kwa mafanikio kwa zaidi ya miaka sita. Siku moja, mke wangu alipokuwa akitumia simu ya yangue, aligundua kwamba nikuwa nikishiriki katika uhusiano wa nje ya ndoa na mwanamke aliyeitwa Chaurembo. Alifanikiwa kuomba talaka katika Mahakama.
Je, aneth anaweza kuomba Mahakama ivunje kampuni kwa kuwa yeye si tena mpenda hisa katika kampuni hiyo?
Taratibu za kufuata ili kampuni ivunjwe kwa hiari.
Kama hakuna kuvunjwa kwa kampuni je siku tukifariki, je, kampuni inaweza kuendelea kubaki na kufanya kazi?
Naomba mswada wenu wakuu nipo katika wakati mgumu sasa