brazilian
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 604
- 112
Kuna machine moja ya kutotolesha nilinunua Chang'ombe VETA mwaka jana mpaka leo inafanya kazi vizuri sijaifanya repair yoyote na nbado safi. Uwezo wake mayai 240 (Trays 8) Nilininua tshs 1,000,000. Ukichukua gahrama zngine kama Invertor pami=oja na dry batery na stabilizer ghrama zake zilifika kama Ts 2,000,000. Nenda kajaribu VETA chang'ombe