Biashara ya usafirishaji makaa ya mawe

King_kally

New Member
Sep 21, 2021
1
0
Habari wakuu, naombeni msaada na ushauri juu ya biashara ya kusafirisha makaa ya mawe.

Nataka kununua gari ili nianze usafirishaji wa makaa ya mawe.

Natanguliza shukrani kwa wote watakao changia mada hii.
 
Usije ukafikiri makaa ya mawe yanasafirishwa na GARI LA MKAA (tripu moja shamba nyingine gereji)? Gari mbichi kabisa, scania mpya(mfano) pita njia ya ruvuma iringa dom arusha, iringa moro tanga moshi utakutana nayo sana yakipeleka makaa ya mawe kenya uone mfano
 
Back
Top Bottom