Nahitaji laptop pamoja na desk top

ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
3,280
4,237
Laptop yenye specs zifuatazo inahitajika

Ram 4gb

Hard disk kuanzia 150gb na kuendelea

Processor core 5 na kuendelea

Vile vile na kwa mwenye desktop yenye ivyo vigezo karibu nahiitaji pia nijulishe apa ili tuweze kufanya biashara kama unayo nipm tu au nichek kwenye watsap no yangu ni 0621840335

Sent using Jamii Forums mobile app
 
New or used?
 
Ushauri wa bure, usinunue used kwa MTU,maana hiyo itakuwa Used in Europe, Used in America, used in Arabia then used in Africa. Nenda Kariakoo mtaa wa Congo, kanunue Used kwa Wasomali, ni nzima nzuri, cheap and affordable. Kama upo Mbaali, pm nikutumie mzigo. N
Sor nilisahau kuandika used siyo mpya ninahitaji used kama unayo tufanye biashara zaidi napendelea hp zot laptop na desktop kama unazo nichek pm ama watsap no 0621840335

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti yake na Lenovo ni nini?
Ko tofauti ya R na l ndo inakufanya ujifanye kama huelewi?
Kitogautisha r na l ni changamoto ambayo asilimia kubwa tunayo wengine ni kutokana na chimbuko lao.
Siku nyingine uwe unajaribu kukosoa kitu ambacho hata watu wengine wataona unajua mambo siyo kufanya watu wakushangae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanawekeza fedha nyingi kutengeneza brand name huwez kuharibu eti kisa mmbantu lazma hatua kali za kinidham

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa, sina hofu, nikiitwa kuhojiwa, utafungua kesi kuzuia nisihojiwe alaf shauri likikataliwa, nitafanya press conference kutangaza kukubali kuhojiwa, usihofu. Pale Kariakoo ukisema "Renovo" au Lenovo, utapata laptop, pesa yako tu hawajali matamshi
 
Ko tofauti ya R na l ndo inakufanya ujifanye kama huelewi?
Kitogautisha r na l ni changamoto ambayo asilimia kubwa tunayo wengine ni kutokana na chimbuko lao.
Siku nyingine uwe unajaribu kukosoa kitu ambacho hata watu wengine wataona unajua mambo siyo kufanya watu wakushangae.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutetea upuuzi mkuu. R sio L na L sio R na Renovo sio Lenovo.

Tumia akili siku nyingine au kausha tu.
 
Ushauri wa bure, usinunue used kwa MTU,maana hiyo itakuwa Used in Europe, Used in America, used in Arabia then used in Africa. Nenda Kariakoo mtaa wa Congo, kanunue Used kwa Wasomali, ni nzima nzuri, cheap and affordable. Kama upo Mbaali, pm nikutumie mzigo. N
Weka mawasiliano ama wewe ndo msomali mwenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wa bure, usinunue used kwa MTU,maana hiyo itakuwa Used in Europe, Used in America, used in Arabia then used in Africa. Nenda Kariakoo mtaa wa Congo, kanunue Used kwa Wasomali, ni nzima nzuri, cheap and affordable. Kama upo Mbaali, pm nikutumie mzigo. N

Naomba mawasiliano yako boss kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wa bure, usinunue used kwa MTU,maana hiyo itakuwa Used in Europe, Used in America, used in Arabia then used in Africa. Nenda Kariakoo mtaa wa Congo, kanunue Used kwa Wasomali, ni nzima nzuri, cheap and affordable. Kama upo Mbaali, pm nikutumie mzigo. N
Naomba mawasiliano yako boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom