Nahitaji laptop

juma kasinge

Member
Sep 28, 2018
11
3
MIe wadau wa biashara nahitaji laptop yenye vigezo vifuatavyo:Hard disk 500GB,RAM 4GB,Processor 2.67 Dual core i5 ni vyema ikawa kampun ya hp
 
Uko wapi?? Nina lenevo hd 500, ram 4 gb na processor 2.3 duocore iko Arusha. 280k we can bargain pia
MIe wadau wa biashara nahitaji laptop yenye vigezo vifuatavyo:Hard disk 500GB,RAM 4GB,Processor 2.67 Dual core i5 ni vyema ikawa kampun ya hp
 
Specification ulizotaka

480K
IMG-20181219-WA0007.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom