Nahitaji kuchapisha mifuko ya mikate

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
75
Nimeanzisha bakery yangu na niko kwenye process ya kuiboresha. Mojawapo ya kitu ninachotaka kukifanya ni kushapisha mifuko ya mikate. Wapi naweza kuchapia mifuko ya mikate kwa bei nafuu?
 
pita kariakoo kwa wauza mifuko wanaweza kukupa mawazo.

hongera kwa kuanza ujasiriamali
 
Nenda IPL, kiwanda kipo ndani ya uwanja wa TransCargo, Mandela Rd kama unatoka baharini, mara baada ya kupita Malawi Cargo, baada ya matanki ya mafuta

macinkus
 
Unauzia kwenye bakery yako au unasambaza? Kama ni kwako huna haja kuchapisha mifuko..Kama bidhaa zako ni bora wewe weka kwenye mifuko safi ya plastic... ladha itafanya watu warudi tena na tena.Kama unasambaza basi kweli utahitaji hiyo mifuko iwe na brand yako.
 
Mostly nasambaza ingawa kuna michache nauzia bakery. Mfuko unapokuwa umechapwa inawavuta hata wateja.
 
Nimeanzisha bakery yangu na niko kwenye process ya kuiboresha. Mojawapo ya kitu ninachotaka kukifanya ni kushapisha mifuko ya mikate. Wapi naweza kuchapia mifuko ya mikate kwa bei nafuu?

ulifanikiwa mkuu!?
 
Ushauri mmoja kaka, nadhani cost inatakuwa cheap mara zaidi ya 30% kama utachapia nje ya nchi especial China. Unachotakiwa ni kuwapata watu wa Graphics design wadraft muonekano then makampuni yapo mengi tuu ambayo yata deliver CIF Dar, au air.
 
5/11/2009 hadi 3/10/2012 hakika

atakuwa amefanikisha lengo lake!

Hongera kwa ujasiriamali wako mkubwa!
 
Back
Top Bottom