nahitaji fundi

The Infamous

JF-Expert Member
May 11, 2009
731
121
jamani kama kuna mtu anamfamu fundi mzuri wa desk top computer hapa mwanza anijulishe, nina sony computer original nilinunua japan, sasa iliharibika na nimejaribu kupeleka kwa mafundi naona wamechemka, wananiambia soft ware zake hakuna nowdays...naipenda sana na sitaki niipoteza.

hebu saidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom