Nahitaji CV ya mkuu wa wilaya ya Temeke

wanazi hili huwa hawaruhusu macho yao kutizama, ila ya docta kutalakiana yanawatoa povu.. ukiwauliza ya mkuu utasikia hiyo no go no area babu seya bado yuko ndani
 
Huyu mama anaonekana yupo hapa kwa mamlaka yake kama mkuu wa wilaya. Cha ajabu ni nini? Mnaongezea Kikwete mbele ya jina lake la Sophia Mjema mkimaanisha ameolewa na Kikwete rais au mmoja wa ndugu zake rais? Hamsomeki kabisa
 
Huyu mwanadada kabla hajahamishiwa TMK alikuwa mkuu wa wilaya ya Lushoto mkoani Tanga, akimbadili Elias Goroi aliyehamishiwa Lindi miaka hiyo.
 
Wabongo bhana wana mambo hawakosi la kuzua. Haya ni nani humshikia mzee mguu mpaka akajua kuwa huyu ni wake.....? Tufanyeni kazi
 
Sophia-Mjema.jpg
 
je na yule RAS wa Dodoma aliyekuwa DED wa Kilombero , Bi Rehema.Sehemu zote muhimu za mapumziko kuna vipoozeo
 


Kabla ya Temeke alikua kule Lushoto,ni mama mmoja safi sana,na ndio maana kwa utendaji wake mkuu akaona amlete mjini!
Hii picha nadhani ni kipindi akiwa Lushoto alipohudhuria Pasha club katika shule ya wasichana Kifungilo.
 
Kabla ya Temeke alikua kule Lushoto,ni mama mmoja safi sana,na ndio maana kwa utendaji wake mkuu akaona amlete mjini!
Hii picha nadhani ni kipindi akiwa Lushoto alipohudhuria Pasha club katika shule ya wasichana Kifungilo.
mkuu you are very innocent in your thinking but unfortunately nchi hii,.i mean kiongozi huyu hateui mwanamke mrembo kwa kigezo hicho...kigezo gani?sijui
 
mtoa thread kaomba CV na picha,..well picha tumezipata but naona kuna issue ambayo sio na sijaielewa na sitokaa niielewe bila ushahid wa moja kwa moja...nchi yetu ni kiwanda cha majungu, unafki na umbeya! nan mwenye evidence ya moja kwa moja kuwa mkuu wetu ndo anaponea pale?? tanzania stori mingi hasa kashfa za ngono na stor za flan sijui baba yake sio huyo baba yake ni nanii....wat?? tupigen kaz tuache kuchunguzana mambo ya kiundan sana hayo...sas mwenye CV aweke hapa tuone elim yake na work expirience in politics and management
 
Back
Top Bottom