Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,416
- 4,873
duh! hii thread nilikuwa naiona lakini sikuwahi kuifungua !
jf raha sana, basi msihishie picha tu leteni cv
jf raha sana, basi msihishie picha tu leteni cv
mashalaah.. msimlaumu rais wetu..kuna mambo mengine ni involuntary action
mashalaah.. msimlaumu rais wetu..kuna mambo mengine ni involuntary action
mkuu you are very innocent in your thinking but unfortunately nchi hii,.i mean kiongozi huyu hateui mwanamke mrembo kwa kigezo hicho...kigezo gani?sijuiKabla ya Temeke alikua kule Lushoto,ni mama mmoja safi sana,na ndio maana kwa utendaji wake mkuu akaona amlete mjini!
Hii picha nadhani ni kipindi akiwa Lushoto alipohudhuria Pasha club katika shule ya wasichana Kifungilo.
wachaaa bhana! unamzungumzia nani? yule jamaaa wa magogoni au baba mira Gje na yule RAS wa Dodoma aliyekuwa DED wa Kilombero , Bi Rehema.Sehemu zote muhimu za mapumziko kuna vipoozeo
Ashindwe kabisa! tokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaBundi wa BAN ataingia sasa hivi hapa
mkuu you are very innocent in your thinking but unfortunately nchi hii,.i mean kiongozi huyu hateui mwanamke mrembo kwa kigezo hicho...kigezo gani?sijui
ufutio....but ina relation gani manake jamaa kasema kichongeo cha kalamu ya mkulu na wewe unasema ufutio, sijaona relation hapo kaka
bi mkubwa kanuna sana hapO. Anajua mchezo mzima nini?