Nahisi mke wangu anani-cheat, nifanye nini kumkamata?

Mtu kaseviwa Robat.
Wote Hapo hamna akili.
Ndio kajiamini maana hua anaejua kabisa Simu yake Sina muda nayo kabisa, hata hivyo najikutaga tu naigusa Tena bila yeye kutegemea Wala kujua, Nafahamu Kuwa kma angejua Kuwa nafatiliaga Simu yake angeweza hata kusave kwa Jina la kike.
 
Unataka kumfumania ili iweje?
Utaweza kujimili?
Una plan gani baada ya hapo?

Mapenzi hayalazimishwi
Hata ushauriweje hapa maamuzi ya mwisho yapo mikononi mwako.

Amua vyema.
Kila la heri.
 
Unataka kumfumania ili iweje?
Utaweza kujimili?
Una plan gani baada ya hapo?

Mapenzi hayalazimishwi
Hata ushauriweje hapa maamuzi ya mwisho yapo mikononi mwako.

Amua vyema.
Kila la heri.
Kweli
 
Ndio kajiamini maana hua anaejua kabisa Simu yake Sina muda nayo kabisa, hata hivyo najikutaga tu naigusa Tena bila yeye kutegemea Wala kujua, Nafahamu Kuwa kma angejua Kuwa nafatiliaga Simu yake angeweza hata kusave kwa Jina la kike.
Tafuta maisha acha ujinga at 21yrs unalilia mapenzi ? Mzee Kama nyege zimekubana tafuta alternative coz kinachokusumbua ni nyege tu.
 
Tafuta maisha acha ujingaat 21yrs unalilia mapenzi ? Mzee Kama nyege zimekubana tafuta alternative coz kinachokusumbua ni nyege tu.
nipo kwenye badmood ila umenichekesha we jamaa dah! kweli nyege mbaya.
 
Back
Top Bottom