elishaezekiel
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 563
- 1,461
Nataka umri wa huyo “Mkeo” kwanza youngman.
This is a last time bro sitoruhusu Hilo napindua mezaDogo priority yako Ni mapenzi au pesa...kwa umri wako zingatia hela.. ingawa ulivoandika inaonekana huyo demu anakumudu na ubavu wa kumuacha anajua huna..nawewe unajua kumuacha huwez...yaani wewe Ni wale nice guys....endekeza aje akuaibishe
1 kweliNitasema kitu.
- Unampenda huyo mwanamke. (Kiukweli haumpendi ila unahisi hautapata kama yeye)
- Umeanza mapenzi ukubwani na kabla haujawa experienced umemkamata kunguru na kujaribu kumfuga.
- Wachepukaji hua hatuachi.
- Unaishi wapi?
Amen rafiki, One of the nice advice I n ever seen before, thank man nitafanya hivyo kwa heshima kabisa ila kwa ninavyomjua kukiri kwake itakuwa ngumu sana, Hajawahi kukiriPole Sana rafiki, nimependa Jambo moja toka kwako la wewe kujikaza huku kwa maumivu kulingana na ulichoona. Ushauri wangu usihangaike kumtega maana hujui mtego utanasa katika mazingira gani nawe utakuwa katika mood ipi hapa huwa Kuna hatari sana ya kukupelekea wewe kukosea Sana na hata kuhatarisha safari ya maisha yako mbele kuwa jela au kufariki.
Cha kufanya omba kupata mda kwa siku nzima kuwa nae nyumbani na hakikisha siku umeindaa ya kuongea nae jiandae kimwili na kiroho kwa saikologia Safi isiyo na madhara weka kila kitu chako sawa, then mwambie ukweli wote bila kumficha kitu, subiri majibu toka kwake ikiwa ataomba msamaha na kukiri kwa mapana na kuweka wazi Basi msamehe kwa tahadhari yakuwa ikitokea basi jua haupo nami mda huo nawe kila kitu chako hakikisha kipo safe.
Ikiwa atakataa kuisema kweli na mda mwingine hata kutaka kujifanya anakuwa mkali basi piga chini bila kukupesa macho na hata kama mnapiga mgao gawaneni nenda sehemu katulie then Anza upya.
Kwa nini nimekushauri hivi! Naomba pia unisamehe Kama ushauri wangu utakukwaza, nimekushauri hivi kwa sababu moja ya sababu ya wanaume wengi kufa kabla ya mda wetu na kuchoka haraka ni mawazo yanayosababishwa na wenza wetu na hata kufikia mahali kutotimiza ndoto zetu kwa sababu ya mwanamke pasua kichwa, ninayo mifano mingi mno ukweli mwanamke Bora na mwenye kuheshimu ndoa yake na kumtunza mmewe vema umnajikuta mnazeeka vizuri na ndoto za maisha yenu kutimia vizuri mno.
Mungu akupe hekima na maarifa
Basi Kama unajua ni mgumu kukiri jiandae kisaikolojia cha kumwacha bila kugombana na Wala usijipe pressure ya kujibizana nae.Amen rafiki, One of the nice advice I ever seen before, thank man nitafanya hivyo kwa heshima kabisa ila kwa ninavyomjua kukiri kwake itakuwa ngumu sana, Hajawahi kukiri
Kwelikuwa mwanaume, fanya maamuzi sasa. hakuma haja ya kukusanya data, ni data zipi unataka kama msg na call ushaziona sana asa unataka nini kingine!?
.
iwe kwenye sim iwe live live mwambie kuwa nimeziona tabia zako ni hizi na hizi na hizi kuanzia leo mimi sikutaki, arudi kwao den endelea na maisha mengine.