Nahisi kuibiwa tigo

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Sina hakika kama hapa ni mahala sahihi kwa hii post yangu,
lakini issue ni kwamba hivi karibuni nilihisi kupungukiwa pesa kwenye simu yangu, nikashangaa shangaa nikaacha kama ilivyo.

Sasa leo nimehakikisha. Nilikuwa na shs, 1028.08 kwenye simu yangu, na nikanakili mahala, hiyo ilikuwa majira ya saa tatu usiku, baadaye saa saba usiku nimengalia nikakuta nina balance ya shs 983.80 nikiwa sijaitumia simu yangu kwa sms wala kupiga, hiyo ni tofauti ya shs. 44.28.

Nashindwa kuelewa hivyo vijisenti vimekwenda wapi, naomba mawazo yenu wenzangu humu jamvini ili kama tunaibiwa tujue na wao wajue kwamba tumejua ili waache kutuibia, na je kuna yeyote kati yetu amewahi kukutana na haki kama hii.

Hebu fikiria shs 44.08 x wateja wote wa tigo ni shs ngapi kwa siku?

kesho napiga simu tigo customer care ili kuwauliza na nina ahidi kuwaletea yale yatakayojiri. Thenkyu.
 
daah mkuu we acha ata mie nimeshakumbana na hlo pia mara kibau nakuwa najiwekea kisingizio kuwa labda nilitumia mwny nkasahau lakini wakati mwngn ckumbuki kabisa kama nilitumia but nakuta imepungua 2 na pia washkaji kibao imewatokea pia daah huwezi jua labda ndio mbinu mpya hyo...
 
sasa nadhani ni wakati muafaka tulivalie njuga ni hili, maana watz tumefanywa mazoba, ndio maana kila siku mibahati nasibu isiyokuwa na mwisho kumbe wanaiba hela zetu kufanyia promotion zao.
 
jamani hata mimi nina tatizo hilo hilo,yaan cwaelewi hawa jamaa kabisaa,mpaka nafikiria kubadili line,this is bullshit....!
 
MARA KADHAA HUWA NAMUULIZA WIFE KAMA AMEJIPUNGUZIA SALIO TOKA SIMU YANGU.... huwa ananishangaa..... na ni kweli kuwa hiyo hutokea usiku! tena ni pesa nyingi tu ambayo unahisi mtu atakuwa amehamisha......from 2,500 to 7,000 (kwa case yangu)
 
Hapo TIGO walikupenda.
 
na sio hilo tu mpaka ukipiga wanakata zaidi ya sh 1.18 na kukata sh 1.90 au 2 kabisa we piga hesabu ndo utajua hawa jamaa ni nma na hali kadhalika kwenye sms wao wanasema ni sh 49 na wakati mwingine wanakata sh 50....bora tu nipige 0784102800
 
daah mkuu we acha ata mie nimeshakumbana na hlo pia mara kibau nakuwa najiwekea kisingizio kuwa labda nilitumia mwny nkasahau lakini wakati mwngn ckumbuki kabisa kama nilitumia but nakuta imepungua 2 na pia washkaji kibao imewatokea pia daah huwezi jua labda ndio mbinu mpya hyo...

Co wewe 2!
Me isha tokea nikawapigia cmu tgo wakasema cmu yng inavirus wanafanya in autosend virus sms 2unknws number,realy nimeiuza dat 4n nimeanza ku2mia cmu nyngn cjaona tatizo hlo tena!
Check aina ya cmu unayo2mia,smartphone nyng ukishahard format mara nyng huwa na such knd of virus!
 
MARA KADHAA HUWA NAMUULIZA WIFE KAMA AMEJIPUNGUZIA SALIO TOKA SIMU YANGU.... huwa ananishangaa..... na ni kweli kuwa hiyo hutokea usiku! tena ni pesa nyingi tu ambayo unahisi mtu atakuwa amehamisha......from 2,500 to 7,000 (kwa case yangu)

Hiyo ya kuongezewa mara tatu Tigo wanakufaa mkuu! Usiseme sana wasije wakasikia. Tunacholalamikia ni kupungua kwa salio bila habari. Hata kama unamtumia mwenzako wanadai wanakata ada 10%
 
Jamani hizi shutuma za kweli au mambo ya Mipasho ya Airtel na Tigo mnaileta humu jamvini?
 
Hapo tunataka kujua hii TCRA inamsaidiaje mtumiaji wa simu wa kawaida, yaani jamaa hawa wamezidi wizi na hawako serious na kazi. imagine kuna siku nilienda ku renew namba yangu pale Harbour View, cha kushangaza yule dada alinipa line nyingine hakufanya chochote wala sikuona anafanya settings zozote kwenye computer yake nilipomuuliza akasema kwa kuwa umeshaandika namba yako ya simu kwenye nitaifanyia kazi, nikamwambia kwanini usifanye sasa hivi na hakuwa na kazi yoyote alikuwa anapiga story na vijana wanaosajili line. Nimeondoka pale baada ya kuiweka ile line kwenye simu yangu haikuwa namba yangu halafu na siku hiyo nilikuwa nasafiri ilibidi nikae wiki nzima bila mawasiliano na shiling. 1000 nilikuwa nimeshatoa ni hayo tu wadau, to be honesty hawa Tigo wamezidi kero naomba TCRA waanzishe kitengo maaumu cha kusikiliza kero za watumiaji wa simu kutoka kwa makampuni maana kule hatusikilizwi na bado hata ukipiga simu huduma kwa wateja wanakata pesa ukiwa unampunguzia mtu salio wanakata pesa mimi sielewi na kila nikifikiria kuhama mtandao naona itakuwa kero..
 
Tigo hawana tofauti na tigo inayoliwa ukanda wa mwambao.

Lugha uliyoitumia hapa sio nzuri na hapa sio jukwaa la mambo unayozungumza. Tupo serious kutoa kero zetu wewe unaanza kuvuruga mada. Be serious...
 
Hlo linakera sn,hlo nilithibitisha siku moja ambayo nilikuwa naenda ufukweni kupumzika,njiani nikanunua vocha ya jero nikaenda mpk ufukweni nilipofika nikazima cm,sasa nimerudi home c ndo nakawasha nipige cm cha ajabu ht sekunde 10 hazikufika cm kwacha,kucheki nna sh 0.dah iliniuma acha tu.baadae nikatop up nikapiga customer ile ya kulipia wananambia hyo haitumiki nipige 100 ukipiga inakuwa hewani inahesabu sekunde lakini husikii chchte.khaa
 
Nilishaweka 10,000 nikatuma message 4 ikasoma balance ni 100 tu...anyway kwa wale waliojisubscribe vi-caller tunes na vihuduma vingine ni lazima deduction itafanyika automatically
 
Wakuu ni bora mmeyaona hayo!mwenyewe jana tuu niliweka 2000 ghafla najikuta nina shs 390!nikapiga customer care ni story tuuu hawapokei!yanh wabongo tunaibiwa sana!
 
Mi kuna wakati niliweka Tshs 1000. Simu sikuitumia kwa kama wiki tatu hivi (nilikuwa ugenini ambako hakukuwa na network)....Nilipororudi nilikufa nina pungufu ya shs 200! Nilipigwa butwaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom