Black African
Member
- Oct 17, 2011
- 24
- 3
Wana Jf habari za leo,muwaje na shughuli zenu za kila siku?Nawaombeni kila mmoja kwa kutumia uzoefu wake juu ya masuala ya uhusiano anijibu, ni aina gani ya wanaume wanakuwa kivutio kikubwa kwa wanawake wengi hususan katika uwanja wa mapenzi?majibu yenu nahisi yataniwezesha kujitathmini maana wanawake hunizoea haraka na kunifanya niwe na idadi kubwa ya marafiki wa kike,hali ambayo mpz wangu haifurahii.pls nipatieni huu msaada.