Nahisi GSM na Hersi wana nia mbaya kwa mashabiki wa Simba. Ukweli wote huu hapa

Fundi kipara

Senior Member
Oct 27, 2019
116
241
As-Salaam Alaykum

(Peace Be Unto You) Natumai Hamjambo Na Mko Vyema Karibuni Sana Katika Uzi Huu.

Ukituskiza Vizuri Mashabiki wa Yanga Tukiwa Tunaongelea Mpira, Hasa Timu Yetu Wallah Nakuapia Tunakeraaa Sie na Ujichanganye Kusikiliza interview za Coach GAMONDI ambaye ungependa kusikia anaongea kwenye ile hali ya kumwogopa Simba Aaah basi utakutana na kauli zake zinazokera zaidi Utatamani Kuhama Nchi Uhame ata Burundi Kwao Saidoo😂 Yaani anaongea kile ambacho anaenda kukifanya kwenye mechi na huku akikuonya na kweli utakutana nacho ila utashindwa kumzuia. (Master Mbabe Sana😂🙌) Ole Wako Ulete Ubishi Utapigwa Kono La Nyani🖐

Sasa Balaa Litakuja Pale Ambapo Tajiri anaetupa Jeuri & kiburi Hapa Mjini Bwana GSM ndio utazimia au Utakufa Pengine Utaomba Ukazikwe Kinyasini Uko😂 Kabisa Ukimwongelesha maneno yoyote kuhusu mpira basi majibu yake itakuwa ni Yanga Bingwa Haijalishi ni mwanzo wa Msimu katikati ya msimu au mwishoni mwa msimu.....!! Anakera Uyo Mzee Tajiri😂

Bora Umskize Walau ata Hersi ila Ata Nae Kuna Anga Zake Anapiga Spana Kisomi😂🙌 Mpaka Uelewe Spana Zake Lazma Uwe na B Tatu Kwenye Cheti chako O & A Level. 😂😂

Halafu Nisiwachoshe Sana Wananchi Ukweli ni Kwamba Kila shabiki wa timu Yeyote ile Hapa Bongo anatamani kwenye timu yake kuwe na Kocha kama wa Yanga & wachezaji wenye viwango kama wa Yanga & viongozi wenye maono ya mbali na ya kimpira kama wa Yanga na wanaenda mbali zaidi kwa kutamani wacheze Mpira kama wa Yanga.

Nani Anabisha. Povu Ruksa

HII YANGA ITANIFANYA NISIOE MWAKA HUU SIO KWA BURUDANI HII😂😂
 
Pole kwa kufungwa tena.. hakika inakuuma sana..

Kwa kuandika povu ruksa.. haujiamini na unajua umeandika pumb*a.😅
 
As-Salaam Alaykum
(Peace Be Unto You) Natumai Hamjambo Na Mko Vyema Karibuni Sana Katika Uzi Huu....!!

Ukituskiza Vizuri Mashabiki wa Yanga Tukiwa Tunaongelea Mpira, Hasa Timu Yetu Wallah Nakuapia Tunakeraaa Sie na Ujichanganye Kusikiliza interview za Coach GAMONDI ambaye ungependa kusikia anaongea kwenye ile hali ya kumwogopa Simba Aaah basi utakutana na kauli zake zinazokera zaidi Utatamani Kuhama Nchi Uhame ata Burundi Kwao Saidoo😂 Yaani anaongea kile ambacho anaenda kukifanya kwenye mechi na huku akikuonya na kweli utakutana nacho ila utashindwa kumzuia. (Master Mbabe Sana😂🙌) Ole Wako Ulete Ubishi Utapigwa Kono La Nyani🖐

Sasa Balaa Litakuja Pale Ambapo Tajiri anaetupa Jeuri & kiburi Hapa Mjini Bwana GSM ndio utazimia au Utakufa Pengine Utaomba Ukazikwe Kinyasini Uko😂 Kabisa Ukimwongelesha maneno yoyote kuhusu mpira basi majibu yake itakuwa ni Yanga Bingwa Haijalishi ni mwanzo wa Msimu katikati ya msimu au mwishoni mwa msimu.....!! Anakera Uyo Mzee Tajiri😂

Bora Umskize Walau ata Hersi ila Ata Nae Kuna Anga Zake Anapiga Spana Kisomi😂🙌 Mpaka Uelewe Spana Zake Lazma Uwe na B Tatu Kwenye Cheti chako O & A Level...!!😂😂

Halafu Nisiwachoshe Sana Wananchi Ukweli ni Kwamba Kila shabiki wa timu Yeyote ile Hapa Bongo anatamani kwenye timu yake kuwe na Kocha kama wa Yanga & wachezaji wenye viwango kama wa Yanga & viongozi wenye maono ya mbali na ya kimpira kama wa Yanga na wanaenda mbali zaidi kwa kutamani wacheze Mpira kama wa Yanga.

Nani Anabisha..!! Povu Ruksa

HII YANGA ITANIFANYA NISIOE MWAKA HUU SIO KWA BURUDANI HII😂😂
Urinate1
 
Ukituskiza Vizuri Mashabiki wa Yanga Tukiwa Tunaongelea Mpira, Hasa Timu Yetu Wallah Nakuapia Tunakeraaa Sie na Ujichanganye Kusikiliza interview za Coach GAMONDI ambaye ungependa kusikia anaongea kwenye ile hali ya kumwogopa Simba Aaah basi utakutana na kauli zake zinazokera zaidi Utatamani Kuhama Nchi Uhame ata Burundi Kwao Saidoo Yaani anaongea kile ambacho anaenda kukifanya kwenye mechi na huku akikuonya na kweli utakutana nacho ila utashindwa kumzuia. (Master Mbabe Sana) Ole Wako Ulete Ubishi Utapigwa Kono La Nyani

Sasa Balaa Litakuja Pale Ambapo Tajiri anaetupa Jeuri & kiburi Hapa Mjini Bwana GSM ndio utazimia au Utakufa Pengine Utaomba Ukazikwe Kinyasini Uko Kabisa Ukimwongelesha maneno yoyote kuhusu mpira basi majibu yake itakuwa ni Yanga Bingwa Haijalishi ni mwanzo wa Msimu katikati ya msimu au mwishoni mwa msimu.....!! Anakera Uyo Mzee Tajiri

Bora Umskize Walau ata Hersi ila Ata Nae Kuna Anga Zake Anapiga Spana Kisomi Mpaka Uelewe Spana Zake Lazma Uwe na B Tatu Kwenye Cheti chako O & A Level...!!

Halafu Nisiwachoshe Sana Wananchi Ukweli ni Kwamba Kila shabiki wa timu Yeyote ile Hapa Bongo anatamani kwenye timu yake kuwe na Kocha kama wa Yanga & wachezaji wenye viwango kama wa Yanga & viongozi wenye maono ya mbali na ya kimpira kama wa Yanga na wanaenda mbali zaidi kwa kutamani wacheze Mpira kama wa Yanga.

Nani Anabisha..!! Povu Ruksa

HII YANGA ITANIFANYA NISIOE MWAKA HUU SIO KWA BURUDANI HII
0ll0
 
As-Salaam Alaykum
(Peace Be Unto You) Natumai Hamjambo Na Mko Vyema Karibuni Sana Katika Uzi Huu....!!

Ukituskiza Vizuri Mashabiki wa Yanga Tukiwa Tunaongelea Mpira, Hasa Timu Yetu Wallah Nakuapia Tunakeraaa Sie na Ujichanganye Kusikiliza interview za Coach GAMONDI ambaye ungependa kusikia anaongea kwenye ile hali ya kumwogopa Simba Aaah basi utakutana na kauli zake zinazokera zaidi Utatamani Kuhama Nchi Uhame ata Burundi Kwao Saidoo😂 Yaani anaongea kile ambacho anaenda kukifanya kwenye mechi na huku akikuonya na kweli utakutana nacho ila utashindwa kumzuia. (Master Mbabe Sana😂🙌) Ole Wako Ulete Ubishi Utapigwa Kono La Nyani🖐

Sasa Balaa Litakuja Pale Ambapo Tajiri anaetupa Jeuri & kiburi Hapa Mjini Bwana GSM ndio utazimia au Utakufa Pengine Utaomba Ukazikwe Kinyasini Uko😂 Kabisa Ukimwongelesha maneno yoyote kuhusu mpira basi majibu yake itakuwa ni Yanga Bingwa Haijalishi ni mwanzo wa Msimu katikati ya msimu au mwishoni mwa msimu.....!! Anakera Uyo Mzee Tajiri😂

Bora Umskize Walau ata Hersi ila Ata Nae Kuna Anga Zake Anapiga Spana Kisomi😂🙌 Mpaka Uelewe Spana Zake Lazma Uwe na B Tatu Kwenye Cheti chako O & A Level...!!😂😂

Halafu Nisiwachoshe Sana Wananchi Ukweli ni Kwamba Kila shabiki wa timu Yeyote ile Hapa Bongo anatamani kwenye timu yake kuwe na Kocha kama wa Yanga & wachezaji wenye viwango kama wa Yanga & viongozi wenye maono ya mbali na ya kimpira kama wa Yanga na wanaenda mbali zaidi kwa kutamani wacheze Mpira kama wa Yanga.

Nani Anabisha..!! Povu Ruksa

HII YANGA ITANIFANYA NISIOE MWAKA HUU SIO KWA BURUDANI HII😂😂
Sina uhakika na jinsia yako but I guess ni ke.
 
Back
Top Bottom