Nagombea jimbo la longido 2015

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,983
6,237
Natangaza nia ya kugombea Jimbo la Longido (Arusha) 2015, kupitia CHADEMA maana Mbunge aliyepo hakuna kitu anafanya si maji, shule, wala bara bara. Wadau naomba support yenu
 
Jipange sana tutakuchagua ila usiwe na maneno mengi cauze hata Olemilya ashatangaza nia :msela: hivyo jipange ila usije ukaja na sera za kuwafukuza wawekezaji kama mwenzako
 
Join Date : 21st October 2012
kwa hiyo umejiunga leo kutangaza nia??wewe ID yako kamili tukupime!
 
WEWE NANI? AU TUUNGE MKONO IYO NICK NAME YAKO? SASA NI MUDA MUAFAKA KUTUMIA JINA LAKO LA UKWELI O/W UNATUZUGa
 
Join Date : 20th October 2012
Posts : 7
Rep Power : 302
Likes Received:0
Likes Given:0

Yelooo masai unafaa kuwa mlinzi aiseeee!
 
Tuwapime muda wa kupima ukifika, huzuiwi kutangaza nia, wala jimbo si mali ya millya,etc
 
Hongera kwa wazo lako la kumng'oa Lekule ww n nani?
Kwa tiketi ya chama kipi?
Au ule mchezo wenu wa UCCM ndani ya longido?
Tunataka mabadiliko ya kweli zaidi sana MAGAMBA sasa basi kama nawe ni gamba nakupa POLE!
 
SaaFi! Tunataka watu waanze kujitokeza mapema katika ngazi ya ubunge na udiwani ili washiriki kikamilifu kuandaa majimbo na kata. na tena wadau wote wapate muda wa kupima uadilifu na uwezo wao kabla ya kupewa nafasi ya kugombea. Nitafurahi saaana kama majimbo na kata zote zitakuwa zimepata wenye nia ya kugombea by 2014 ndani ya CDM.
 
Back
Top Bottom