NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

Umaskini mbaya sana inaweza fika hatua unaona kula nyama ni hakuna kitu bora ule dagaa ukitumia kigezo cha kuwa zote ni mboga
Iphone na sumsung hakuna simu bora zaidi ya mwenzake isipokuwa ni preference ya mteja tu chukulia mfano s23 utra vs iphone 14 pro max
 
But inafanya kuwa rahis kwa third park kuzihack. Is why iphone si open source, source code si publick, why? Wamefocus kwenye ulinzi wa os zao zaid

Nani anaweza kuhack simu ya android akashindwa iphone!!!!

Hili swala "kuhack" linarahisishwa sana.

Kuhack upate access ya kifaa husika na data za mhusika wa mwanzo sio swala jepesi kama linavyoandikwa.
 
Kwa upande wangu ni umasikini wangu tu, ila nilichogundua simu zote za bei kubwa zipo sawa kwenye ubora, ukinunua simu zetu hizi za promotion Tecno za laki 2-3 ndio zinaganda na kusumbua lakini iphone 5 inazipita simu nyingi tu za kisasa kwenye performance

Hivo basi, hoja yangu ni kwamba katika simu za makampuni yote ambazo dukani zinaanzia laki 7 hakuna inayosumbua, Tecno za bei kubwa zipo vizuri, mtu unapata kitu kulingana na budget yako
 
MALIPO BAADA YA KUPATA HUDUMA‼️

kama unatumia tigo nicheki nikuungie vifurushi nafuu
GB 5.5 week 2 kwa sh 6000 tu
GB 6.5 week 2 kwa sh 7000 tu
GB 8 kwa sh 9000 tu

GB30 KILA MWEZ SH. 25000 TU

GB 30 KILA MWEZ kwa sh 25000 tu

GB 35 KILA MWEZ kwa sh 30000 tu

GB 48 KILA MWEZ kwa sh 40000 tu

GB72 KILA MWEZ MZIMA(Postpaid) sh.60000 tu

PIA ROUTER ZA WIFI ZENYE BANDO UNLIMITED SPEED KUBWA ZIPO!

Airtel SME, Vodacom SME na halotel bando nafuu sana pia zipo

HUDUMA NI UHAKIKA TUKIELEWANA NAWEZA KUKUUNGIA UKALIPA UKISHAPATA HUDUMA!

0717700921
 
Kwa upande wangu ni umasikini wangu tu, ila nilichogundua simu zote za bei kubwa zipo sawa kwenye ubora, ukinunua simu zetu hizi za promotion Tecno za laki 2-3 ndio zinaganda na kusumbua lakini iphone 5 inazipita simu nyingi tu za kisasa kwenye performance

Hivo basi, hoja yangu ni kwamba katika simu za makampuni yote ambazo dukani zinaanzia laki 7 hakuna inayosumbua, Tecno za bei kubwa zipo vizuri, mtu unapata kitu kulingana na budget yako
Usikariri, simu yoyote inaweza kusumbua, hata iwe ya milioni 3. Na unaweza kupata Redmi yako ya laki 3 ila usipate shida yoyote. Halafu ukanunua Xiaomi 12 Pro au One Plus 10 Pro zenye Snapdragon 8 Gen 1 zikakuletea shida ya overheating na kushuka chaji faster kama maji. Simu zinatengenezwa na binadamu. Hata iwe ya milioni 3 inaweza kuwa na matatizo yake vilevile. Kikubwa katika simu expensive ni kufanya vitu kwa ubora mfano kamera kali, display nzuri, design expensive, speaker nzuri ila errors zipo
 
Back
Top Bottom