naficha siri kuna mtu jf kajitokeza

Mbona mnanihukumu bila kosa

una matatizo ya psychosexual from 0 to 6 haikukaa fresh hukupitia Anal stage,(hatua nya) naona unafanya compansation kwa wale psychologist wananipata.nenda ufanyiwe maombezi kinyaa tupu halafu naona aibu badala yako kwa mwanamke kuwa unapost ufedhuli.ur note a real woman wa karne hii
 
Jane, una miaka mingapi wewe? taja hata range mfano kati ya 10-20 au 20-25
 
Nahisi huyu anaweza kuwa ni yule Miss Tz anayechange wanaume kila siku na majuzi kasema hataki tena masharobaro anataka watu wazima tu nimeanza kumhisi huyu... manake mapepo yao yanafanana...
 
Unabweteka ukingojea kuhongwa,
hilo nalo ni pepo m-pm Rev. M. akuongoze sala ya toba.
 
kuna mtu kasema atanunua Nyumba na gari v8 na kajitokeza ndani ya jf nashukuru kaona figure yangu na kapagawa sana
Hata uwe mzuri namna gani, kidume kitakachotoa nyumba na v8 kwa ajili ya nyuchi moja kina akili sawa na kipepe/pimbi.
Na wanawake wa kibongo wengi huwa wana-confuse beauty with obesity(no offense kwa vidume vinavopenda kukamua obese women), hivo unaposema nna figa bomba, najuaga ni walewale tu.
 
kuna mtu kasema atanunua Nyumba na gari v8 na kajitokeza ndani ya jf nashukuru kaona figure yangu na kapagawa sana

Hee, huyo alopagawa na figa yako nani? Mwee, maajabu hayataisha! We Jane acha kutuzuga, Jane kifua chake inchi 47, hips 22 (me fundi nilishamshonea nguo so najua vipimo vyake). Nisamehe Jane kwa hili ila huna figa ya kumdatisha mwanaume wewe!Lol!
 
Nakusalimia tu baba nanihii
wenzio wanaringia 'genotype' we unaringa na 'phenotype' ***** kweli wewe. Kama figa ni dili nenda jolly club ndo utajua, watu wanapenda nini. Halafu usikute umejaa 'ngorongoro crater' tupu hapo, mtu akizama na kutoka ma***u tupu!
 
Hee, huyo alopagawa na figa yako nani? Mwee, maajabu hayataisha! We Jane acha kutuzuga, Jane kifua chake inchi 47, hips 22 (me fundi nilishamshonea nguo so najua vipimo vyake). Nisamehe Jane kwa hili ila huna figa ya kumdatisha mwanaume wewe!Lol!
Naishimu mawazo yako
 
madem design hii huliwa sana kwa mkopo usiokuwa na riba na ulipaji wake wa installment!
 
Mh jane... Mbona unashusha thamani ya utu wako.... Kuwa makini usipende shortcut kwenye maisha... Dont wait untill u learn it in a hard way..
 
Back
Top Bottom