naficha siri kuna mtu jf kajitokeza

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
kuna mtu kasema atanunua Nyumba na gari v8 na kajitokeza ndani ya jf nashukuru kaona figure yangu na kapagawa sana
 
ndo maaaaaaanaaaa hufiki kileleniiiiiiiiii cz u after ........... haha jane nahisi we dumeeeee unaect
 
Mafiga pekee hayalipi mama iwapo ukiweka kuni matokeo yake ni majivu ya upesi upesi. Watu wanalipia kiwango cha joto baada ya kuweka kuni. Kwani hivyo ndivyo chakula huiva.
 
Mafiga pekee hayalipi mama iwapo ukiweka kuni matokeo yake ni majivu ya upesi upesi. Watu wanalipia kiwango cha joto baada ya kuweka kuni. Kwani hivyo ndivyo chakula huiva.
Siwezi kumwanga mchele kwenye kuku wengi mulize badly
 
Back
Top Bottom