naficha siri kuna mtu jf kajitokeza

khaa jane wee hongera

Blaki hongera ya nini, wanawake wenzake wana magari ya kwao ambayo hawajahongwa yeye anataka kuringia gari tena ambalo hajalipata ni ajabu kabisa. Kumpa hongera hakumsaidii bali pole ndiyo yake na ndiyo inayomfaa.
 
Back
Top Bottom