Nafasi za mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti

Jamani nijulisheni ni lini application ztakua hewani?

JALUO nafasi zilishatangazwa kwa diploma na vyeti (kwenye www.moe.go.tz) na walisema mwisho ni tarehe 30/04/2012. Lakini natarajia muda wa mwisho wa kupokea maombi utaongezwa kwa sababu matokeo ya form 6 yametoka baada ya hiyo tarehe ya mwisho. Usiwe na wasiwasi,tembelea website ya wizara ya elimu(www.moe.go.tz) mara kwa mara uone kama muda utaongezwa.Kama vipi,soma yale malezo,kama una vigezo alafu andika barua utume. Wametoa hadi anuani ya kutuma wameweka.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom