Nafasi za kazi TRA

nyati stop having a negatie mind am real positive ni kwamba hata kama wamepeleka vimemo nfasi yangu iko pale pale trust me and am gonna get this job.
 
Na uwe umemaliza kuanzia 2010!!uwe na upper second!I wonder kama vyeti ndo vinafanya kazi or not?/hizi wamezitenga maalum kwa watoto wao waliomaliza Tumaini University with first class na upper za bureee...Mlimani hzo upper second utazisikia tuuuuuuu..
hapo kwenye italics,you have made me to lough.kumbe na ww ulipita pale?
 
Na uwe umemaliza kuanzia 2010!!uwe na upper second!I wonder kama vyeti ndo vinafanya kazi or not?/hizi wamezitenga maalum kwa watoto wao waliomaliza Tumaini University with first class na upper za bureee...Mlimani hzo upper second utazisikia tuuuuuuu..

SIYO KWANZIA 2010 NI BAADA YA 2010, wanamaanisha 2011 and 2012, au miye ndo sijaelewa kingereza mkuu
 
najua mi mkubwa mkuu,lakini mbona bado nina uwezo wa kufanya kazi?kama hao hawataki watu wenye umri kam sie tukafanye wapi kazi sasa?au ndo kusema sie tujikite kwenye kilimo huko kijijini?:bowl::bowl::bowl:
wewe mkubwa ndo mana wamekata umri..unafkr mwnye 22 na over 30 wako sawa kupiga ktk kazi? wanataka changes
 
msaada, kuna pa ku attach vyeti? nieleweshe plz coz nimefungua naona sehem tu pa kijaza details zingine
 
Na uwe umemaliza kuanzia 2010!!uwe na upper second!I wonder kama vyeti ndo vinafanya kazi or not?/hizi wamezitenga maalum kwa watoto wao waliomaliza Tumaini University with first class na upper za bureee...Mlimani hzo upper second utazisikia tuuuuuuu..
Mhhhhh! hili nalo ni tatizo, umri, mwaka uliomaliza, GPA, kwa wenzangu na mimi tuendelee kumwomba Mungu labda za kwetu wa lower second zitatajwa siku za karibuni, dah! umri nao na mwaka uliomaliza college sijui kama tutanusurika, jamani tunaenda wapi na tutafika lini?
 
Na uwe umemaliza kuanzia 2010!!uwe na upper second!I wonder kama vyeti ndo vinafanya kazi or not?/hizi wamezitenga maalum kwa watoto wao waliomaliza Tumaini University with first class na upper za bureee...Mlimani hzo upper second utazisikia tuuuuuuu..

Umesema kweli Mkuu! TRA wanahitaji Tutorial Assistants au Wafanyakazi wa taaluma ya Kodi? Hizi Upper 2nd Class ni za kuwakwaza watu tu!
 
nisaidieneli starting salary ya mtu mwenye bachelor tra jamani

acha ujinga! Yaani ndo kwanza tangazo limetoka deadline haijaisha unaulizia mshahara?
Hivi wanajamvi kwa nini watu tumekuwa na umimi sana?
Hivi ikatokea watu hawalipwi mshahara kuna wengi humu ndani hawatafanya kazi.
Mnaboa sana, tangazo ndo kwanza limetoka unauliza mshahara! Why dont you ask resposibility instead of asking salary?
 
yani wewe ni typical *****..mtu kaomba asaidiwe unaleta kiherehere tu..we unajua kwanini nimeuliza? kama huna cha kujibu si ungeendelea na mambo yako? we unadhani kila mtu anapenda kufanya mambo blindly tu kipimbi kama wewe? umeishi wapi wewe? ni lazima ujue approximate salary yako kabla!unasurvey kwanza..***** mkubwa unakera kenge wewe
 
kwa nini usiandike kinachoeleweka, kwa nini unakuwa mwepesi wa kutoa lugha chafu(kama sio lugha chafu dhubuti kuandika ulibhoficha katika hizo nyota?)
unapoambiwa ukweli bwana mdogo elewa ukweli na sio kuanza kutoa lugha chafu kama hapo juu.
Pia kwa uzi wako nimeweza kutambua wewe ni mtu wa namna gani, hakika hayo maneno uliyoandika yanaakisi wewe ni msomi mpumbavu(mpumbavu= mjinga asiyetaka kukubali ujinga wake ili arebkebishwe)
hii pia inaakisi kuwa wewe ni mtu anayehisi yupo sawa wakati wote ilihali anakosea.
Ungekuwa wewe si mpumbavu ungetaka kujua ujinga wako uko wapi na sio kuanza kutoa maneno ya aina uliyoandika.
Nasikitika kusema kama wewe ndiye mwenye hicho unachoita shahada "una elimu na si maarifa"
 
we lofa ushaona nani anafanya kazi bila kulipwa?hivi we unaakili kweli?nyie ndo watu ambao mtabakwa na wakenya mipaka ikifunguliwa..inaonesha hauna uwezo.wa kucompete kokote duniani zaidi ya kwa wajinga wenzako tanzania..endelea kurelax kama zoba.eti niulize responsibility!yani we kwa akili yako fupi mtu mzima ajui responsibility zake? vyote mi navijua kasoro starting salary!ndo maana nkauliza!lakini kwa kujifanya una akili unaleta viidea vyako vya kijinga..yani we ungekuwa karibu ata ngumi ungeshakula zakutosha.mi nauliza kingine we unajibu kingine.we mtu iq yako ni ndogo sana kwa spot diagnosis..usijifanye mjuaji..kama kitu ukijui au hujui mtu anauliza kwa nia gani..bora ukae kimya! siyo lazma ucomment kila mahali..au huna kazi ya muhimu ya kufanya?
 
Back
Top Bottom