Nafasi za kazi TRA

Ni kweli kabisa mimi nilikuwa na upper second class na niliomba kwa hao jamaa kama mara tatu hivi bila hata kuitwa kwenye usaili lakini wenzangu waliokuwa na lower class walipata ajira.Mimi mtoto wa mkulima nikaamua kufanya kazi katika makampuni ya private ambayo hayana urasimu lakini amini hadi sasa my salary ni zaidi ya mara nne ya huo mnaokimbilia TRA ndani ya miaka yangu mitano tangu nilipograduate.Hivyo hata mtakaopigwa chini msikate tamaa maana hao jamaa kwa urasimu wa kubebana hasa wachaga na wahaya hawajambo.

Wazushi na siombi tena kupoteza muda wangu
 
we kafanye kaz bure

jaribu kupitia "post" zangu zote nilizopost kwenye huu uzi kisha utaelewa ninachosema, na sitegemei kama utakuja na "comment" kama uliyoitoa hapa.
Am sorry to say wewe ni mtumwa wa mshahara.
Kwa kusaidia tafuta watu wanaofanya kazi kama
sales
marketing officers
waulize kama wapo kwenye "payroll" ya kampuni wanazofanyia kazi! Kisha waulize how much they are making per day?
Na waulize how long have they been working without salary.
Wapo watu wanafanya kazi na hawajui mshahara ni nini, ila wanatengeneza pesa nyingi kuliko hata wakurugenzi.
 
Kama ni T.R.A, wala sijisumbui coz the aplicant must be fluent in English, Swahili & Chaga.





" Three bad facts about today, today is not friday, also tomorrow is not friday, even the day after tommorrow is not friday "..............Anonymous
 
Back
Top Bottom