SONGEA
Senior Member
- May 29, 2008
- 101
- 8
kwani umeona wanataka experience ndugu?
Mwajiri ana vigezo vyake kabla ya kutangaza
anaweza kutaka mwenye uzoefu, lakini anaweza kutaka mtu ambaye atampa training
kwani umeona wanataka experience ndugu?
teh teh tehkachero wanhu ndani ya TRA ameniambia nisiwe na wasi japo nina gentlemen pass ya 2009
kaniambia tupia CV ka mkuu apo juu, alafu nitapewa namba.... nimpe hyo namba afanye ukachero
nimeenda kutupia cv...mama anuliza 'umeapply nini?' customs officer 'tupia box hili' mama anajibu
alafu?
sepa tu kaka
he...namba vipi? nasikia inabidi nipewe namba.... 'hmana namba'
da...kachero wangu inakuaje...nimetupia kenye box... namba hamna... ukachero bado unawezekana?
Ebana nimetupia CV , hapo makao makuu! Ngoja 2subiri miujiza kama hata kwenye interview tutaitwa.
..Soma signature yangu hapo chiniTZ zaidi ya uijuavyo! Tulomaliza before '11 imekula kwetu. Amakweli sie ndo yale mabomu alosema EL
Hivi kwa mfano ukiwa na referee ndo inakuaje? Anampigia simu mkuu wa kitengo alafu hamna haja ya interview au?
Alafu mishahara TRA ikoje? Au ukipata ndo unakula rushwa tu?
Mishahara yao ni ya kawaida tu. Tatizo wengi wanapakimbilia kwa lengo la kula rushwa tu lakini wasisahau kuna kwenda motoni maana Mungu hapendi rushwa.
plse forwaed my attachments.
thanks.
2.2. ASSISTANT CUSTOMS OFFICER (40 VACANCIES)
2.3.1. Purpose of the job
To ensure the correct declarations of both import and export entries, and correct any anomalies and discrepancies thereof which may affect Government revenue.
2.2.2. Major activities of the job
(i) Control all goods being entered into the country, export and transit goods.
(ii) Conduct documents checking.
(iii) Verify information in refund claims.
(iv) Prepare enquiries and offence files.
(v) Check the classification of goods and carryout assess and valuation of the same.
(vi) Prepare various returns for Customs and Excise Headquarters.
(vii) Provide information for preparation of Management reports (various).
(viii) Conduct the physical verification of goods.
(ix) Perform anti- smuggling patrols.
2.3.3. Minimum job requirements
Qualifications
(i) Applicants must posse an Advanced Diploma or a University Degree in Tax Management, Accountancy, Finance, Economics, Statistics, Business Administration, Law, Information Technology, or its equivalent with at least an Upper Second Class from a recognised higher learning institution. The candidate MUST have graduated in 2011. OR those who graduated before 2011 but with a Postgraduate Diploma or Masters Degree in Customs, Tax Management, Business Administration or its equivalent may apply.
(ii) Relevant training in Customs or a working experience in the related field will be an added advantage.
(iii) The applicant MUST be not more than thirty two (32) years of age.
Key competences.
(i) Leadership and Team Building
(ii) Strategic Focus and Managing Change
(iii) Managing Performance and Accountability
(iv) Problem Solving and Decision Making
(v) Integrity.
HAPA VIMEMO VIPI?
kaka thanx kwa taarifa,naomba utupatie hiyo address yao tutest zali.

1st Major update from starter of post. usiulize source wala nini. source usalama wa Taifa. ntawapa blow by blow kuhusu hii kazi mpaka hatima yake. watasema wengi, but its best to get the data from an insider. okay lets go....
[*=1]BREAKING NEWS:
[*=1]MCHAKATO WA KUWATAFUTA WATAKAOKWENDA KULA MAHELA YAO PALE TRA UMECHUKUA SURA MPYA BAADA YA WALE WAOMBAJI KUFANYIWA SHORT LIST. AWALI WAOMBAJI WALIKUA WANAFIKIA KIASI CHA 9500 ILA IMEGUNDULIKA KUWA KUMEKUA NA MAKUNDI MATATU KTK MAOMBI HAYO KUNDI LA KWANZA NI WALE WASIOHUSIKA KABISA HATA NAFASI YA KUFKIRIWA HAWA WANAJUMUISHA WALIOMALIZA MIAKA YA NYUMA NA WALIOKUA HAWAKUSOMEA FANI ZILIZOAINISHWA NA KUNDI LA PILI NI LA WALE WENZANGU MIE BELOW CRITERIA ZILIZOWEKWA ZA GPA HAWA WANAJUMUISHA BELOW UPPER SECOND WOTE FUNUNU NIKUA HAYA MAKUNDI MAWILI YOTE YAMEPIGWA NA CHINI ILA UKWELI WANAUJUA WAO WENYEWE NA MUNGU NINI WAMEFANYA MWISHO NI KUNDI LENYE VIGEZO NAMAANISHA WENYE UPPER SECOND NA KWENDA MBELE MCHUJO ULIKUA MKALI SANA MAANA WATU WALIOKUWA NA VIGEZO NI WENGI KWELI NA PANGA LIMEPITA WAKASHORT LIST WATU 1000 HAWA WANATARAJIA KUITWA WAKATI WOWOTE WAKAFANYE WRITEN INTERVIEW NA MCHUJO UNATAKIWA WATU 120 AMBAO HAO NDIO WATAGOMBANIA KTK NAFASI 40 KWA MCHAKATO WA NAFASI 1 KATI YA 40 ITAGOMBANIWA NA WATU 3 FULL STOP
Subscribe to this post for news on when the phone calls start. happy gossiping.....
p.s vimemo vimezimgatiwa but only for those with qualification ndio walio hakikishiwa kazi
p.s.2 bado recruiter hajachaguliwa i.e chuo gani kifanye usaili....i.e wakichague ifm wa ifm wamekula shavu