Nafasi za kazi TRA

Ahsante kwa updates mkuu. Mimi nina vigezo naomba Mungu nisipigwe panga angalau nikafanye hiyo interview ya halaiki.
 
Yale maneno ya mwisho matatu huyu GEKA amenifurahisha sana maana amemanisha kweli,Uko wapi mzee tuwasiliane mi niko Mwanza
 
...waliushaita watu for interviews muda mrefu. Na juzi walikuwa wanafanya interview ya mwisho (written paper - interview)
 
2.2. ASSISTANT CUSTOMS OFFICER – (40 VACANCIES)

2.3.1. Purpose of the job
To ensure the correct declarations of both import and export entries, and correct any anomalies and discrepancies thereof which may affect Government revenue.

2.2.2. Major activities of the job
(i) Control all goods being entered into the country, export and transit goods.
(ii) Conduct documents checking.
(iii) Verify information in refund claims.
(iv) Prepare enquiries and offence files.
(v) Check the classification of goods and carryout assess and valuation of the same.
(vi) Prepare various returns for Customs and Excise Headquarters.
(vii) Provide information for preparation of Management reports (various).
(viii) Conduct the physical verification of goods.
(ix) Perform anti- smuggling patrols.

2.3.3. Minimum job requirements
Qualifications
(i) Applicants must posse an Advanced Diploma or a University Degree in Tax Management, Accountancy, Finance, Economics, Statistics, Business Administration, Law, Information Technology, or its equivalent with at least an Upper Second Class from a recognised higher learning institution. The candidate MUST have graduated in 2011. OR those who graduated before 2011 but with a Postgraduate Diploma or Masters Degree in Customs, Tax Management, Business Administration or its equivalent may apply.
(ii) Relevant training in Customs or a working experience in the related field will be an added advantage.
(iii) The applicant MUST be not more than thirty two (32) years of age.

Key competences.
(i) Leadership and Team Building
(ii) Strategic Focus and Managing Change
(iii) Managing Performance and Accountability
(iv) Problem Solving and Decision Making
(v) Integrity.



HAPA VIMEMO VIPI?



watu washaitwa...interview j3....utapigiwa cm na barua posta....written i think cos usisahau calculater


Dead line c oni
 
mwaka jana walitangaza nafasi hivyo hivyo za kwa upande wa mobile scanner bandarini cha ajabu walichukua ndugu zao ambao hawajafanya hata mtihani wa mwisho. ninacho jiuliza vyeti vyao walivitoa wapi? eti wakawambia wakipata vyeti wavipeleke vikaguliwe. huku waka acha watu kibao walio timiza vigezo. hii nchi sijui inaenda wapi.
Mkuu kama unataarifa za kutosha ziweke hapa zifanyiwe kazi, tumeshachoka na kamleteni, ndio maana nchi ilijawa na ubabaishaji wa kupita kiasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom