Nafasi za kazi NSSF

Aug 17, 2009
60
4
Samahanini wandugu,kama kuna yeyote aliyeona au anajua kuhusu nafasi za kazi zilizotolewa na NSSF last wk tafadhali naomba aniambie,na wanataka nini kiambatanishwe,na deadline ni lini?.Nitashukuru sana.
 
Mkipata kazi tujulishane wandugu haya mashirika yamejaa ubabaishaji undugu,udini nk.nilpiga interview yao mwez june nikiwa na washkaji zangu kama kumi na tano wote atukuitwa katita second interview after doing wrting interview.ajabu kuna mtu kapewa mkataba wa ajira tareh 7.10.2011 leo karipoti mzigoni mkoa flani kuanza kazi WENGINE NDIO MNAANGAIKA NA BAHASHA ZA KAKI kabla ya deadline day.POLENI WADANGANYIKA na hapy bthday ya 50 ya TZ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom