Nafasi ya Lowassa ndani ya CCM, faida na hasara za kumfukuza Chamani kwa sasa!

Lowassa akifukuzwa ccm,ukawa watamchukua na hilo halina upinzani liko wazi. Mpakataa sahz lakn mtakuja jua ukwel wake.
 
Hili la Lowasa ndani ya ccm ni kitendawili... sandakalawe! Amina! Mwenye kupata! Apate...... Ccm kipindi hiki cha miezi 5 watapitia kipindi kigumu sana... wanajaribu kutaka kupenya kwa kukwepa makundi..... lakini kila kukicha mwanya unaongezeka . Na hili la serikali za mitaa na vijiji limewaumiza sana vichwa......wanaona hawa UKAWA wamepata 39.72% ,hii siyo hali nzuri kwao ccm... .. La Lowasa nalo ni kitendawili.... hawajui wafanyeje sasa. Kule Zanzibar nako Dr. Shen naye anaona nyotanyota..... hawa jamaa mwaka huu hawajui washike wapi....
 
Kamanda nakushukuru sana, uwepo wako hapa ni faraja kwa wanamageuzi.
 
Safi sana mkuu kwakuwa na ushahidi, Haya kwa heshima ya jf tuwekee hapa ushahidi huo,

Ushahidi kitu gani.... mbona bwana Oluoch kaleta ushahidi wa kutosha tu kwamba WEWE NI TAPELI na kwamba HUTAKI KUMLIPA HAKI YAKE
 
Last edited by a moderator:
Birds of a feather flock together!.

Ndiyo maana wewe na Saed Kubenea mna hulka sawa.

Yeye anaandika habari kwenye gazeti lake, wewe unaleta maudhui yake Jamiiforums.

Mmemaliza ya Zitto Kabwe na sasa mmeanza ya CCM.

Ama kweli ufitini na majungu ni kama kula nyama ya binadamu. Huwezi kuacha!.

Mkuu hana lolote huyu tapeli wa kihehe

Kamdhulumu bwana Oluoch haki yake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom