Nafasi ya kazi na ajira ya kudumu.

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Jan 7, 2009
1,232
442
XP-SALES MARKETING
S L P 5752
DAR.
KAMPUNI INAPOKEA VIJANA JINSIA ZOTE
kwa ajira ya muda au kudumu.
Sifa: miaka 18-30
Uwe tayari kufanya kazi dar.
Elimu kuanzia form four Nk.
Afya njema
Usiwe na makosa ya jinai.
Uwe tayari kufanya kazi 8hrs.
Kazi zinazotolewa ni:
Kufanya mauzo (salespeople)
Storekeeper
Usafi office na godown
Mapokezi (wasichana)
Group leaders
Manager.
Interview inafanyika kila siku ofisini kuanzia saa Tano asubuhi mpaka sa nane mchana siku za kazi tuu. Unatakiwa kufika kwa maelezo zaidi ya ofisi tumia namba hizi.
+255786555030 +255713555030.

Sent from jamii forums.
 
Aah, umenifurahisha sana mkuu, Interview zipo kila siku?
Uwa napenda na kufurahishwa na usmart wa wafanyakazi wenu tu, down mtu katupia raba nyeupe, suruali mpauko labda rangi ya kijani, shati njano shingoni anaweka kitu cha tai damu ya mzee! Kachumbali la ukweli, wanapendezajeee!
 
Safii sana
 
aah, umenifurahisha sana mkuu, interview zipo kila siku?
Uwa napenda na kufurahishwa na usmart wa wafanyakazi wenu tu, down mtu katupia raba nyeupe, suruali mpauko labda rangi ya kijani, shati njano shingoni anaweka kitu cha tai damu ya mzee! Kachumbali la ukweli, wanapendezajeee!

maoni mazuri lakini yasitumike kukatisha tamaa wenye mawazo chanya kuhusu kazi hizi za vijana naamini nawe ndio lengo lako pia ili kurekebisha..
 
Aah, umenifurahisha sana mkuu, Interview zipo kila siku?
Uwa napenda na kufurahishwa na usmart wa wafanyakazi wenu tu, down mtu katupia raba nyeupe, suruali mpauko labda rangi ya kijani, shati njano shingoni anaweka kitu cha tai damu ya mzee! Kachumbali la ukweli, wanapendezajeee!

ha ha ha pembeni na mabeseni yako na vikombe na sabuni za muarovela weeee
 
Hata Kama Ni
"Masinia yako na Mabakuli
Na sabuni za Muarobaini"...
Kama Biashara Inatoka Na Ujira Wa Ukweli
Mimi Kazi Nitapiga Mbona!!?
Kama Vp Nionganisheni Wakuu Umri Unaenda
Unaweza jikuta una mvi Hata Mke/mtoto Huna!
 
Back
Top Bottom