Nafasi Kazi za Uhamiaji (2014)

sasa haya maomba tunaandika kwa lugha ya kiswahili ama kiingereza?

utaonekana wa ajabu mtu kakusalimia "mambo vipi?" ukamjibu "oohh am fine, how are you doing?"

sijakiona tangazo la kiingereza aisee, kama vipi andaa maombi kwa kiswahili. nadhani ata usahili utakua wa kiswahili.
 
Mungu tusaidie wale tuliokosa pccb tuangazie huku uhamiaji tunaamini mlango mmoja ukifungwa mwingine wafunguliwa amen
 
utaonekana wa ajabu mtu kakusalimia "mambo vipi?" ukamjibu "oohh am fine, how are you doing?"

sijakiona tangazo la kiingereza aisee, kama vipi andaa maombi kwa kiswahili. nadhani ata usahili utakua wa kiswahili.

mkuu matangazo yameandikwa mara mbili kwa kiswahili na kingereza tembelea website yao utaona.
 
utaonekana wa ajabu mtu kakusalimia "mambo vipi?" ukamjibu "oohh am fine, how are you doing?"

sijakiona tangazo la kiingereza aisee, kama vipi andaa maombi kwa kiswahili. nadhani ata usahili utakua wa kiswahili.

Kwenye gazeti la Daily News la jana tarehe 17Feb.wametangaza kwa kidhungu,so naamini lugha zote zinakubalika.
 
vyeti vya darsa la saba vinauzwa kariakoo yale maeneo yanayotengeneza risiti za daladala karibu na kituo cha mbagala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom